
MELDOLA NA BUGANDO ZAUNGANA
KUPIGANA KIKAMILIFU NA MAGONJWA YA KANSA.
Hospital ya Meldola nchini Italy, karibu na hapa ninapo ishi, yapata uamzi wa kuungana na Hospital ya Bugando Jijini Mwanza - Tanzania, ili kupambana kikamilifu na magonjwa ya kansa.
Madaktari wa Hospital hiyo ya Meldola wameamua kuchukua uamzi huo wa kuungana na Bugando ili kusaidia kikamilifu wagonjwa wa magonjwa ya kansa, kwa Jiji la Mwanza na Tanzania kwaujumla, ila matibabu hayo yatakua yakifanyikia katika Hospital ya Bugando - Mwanza.
Uamzi huo ulichukuliwa kutokana na madaktari hao wa Meldola kukubaliana na madaktari wa Bugando, na wametembelea mara nyingi huko Bugando, na kuona kua inafaa sana wakiungana kikamilifu ili kupigana kikamilifu na gonjwa hili hatari la kansa.
-Salamu sana kwa wadau wote.
Mdau Baraka wa Chibiriti,
-Salamu sana kwa wadau wote.
Mdau Baraka wa Chibiriti,
Cesena, Italy.
The doctor of the future will give no medicine, but will interest his patients in the care of the human body, in diet, and in the cause and prevention of disease.
ReplyDeleteDr.Mallaba