Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa Patrick Vieira Kobole.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana,mtoto mzuri.hope miaka na miaka itapita.
ReplyDeleteHongereni pia wazazi,kwa kubuka siku ya kuzaliwa mtoto Pat.
Kweli wahenga walisema BITOZ NYANGEMA anataka aitwe 2pac.haya hongera Bwana Patrick.
ReplyDeletehongera dogo,
ReplyDeleteila wabongo kwa kuiga majina ya super stars....
sio wabongo duniani kote hakuna jina jipya majina mengi tunapewa kutoka kwa waliotutangulia either katika vitabu vya dini mf musa yusuf au mashujaa wowote waliopo sasa duniani mfano mandela,julius,mugabe na mtaani kwetu kuna mtoto anaitwa michuzi,hongera mtoto patrick,nimeipenda muundo wa keki yako.
ReplyDeleteKila ninapowaona watoto ndani ya Tanzania machozi uwa yananitoka , kwani future yao imeshaharibiwa na wabinafsi wachache
ReplyDeleteHongera pat,nakumbuka nilikuona ukiwa mchanga kabisa.
ReplyDeletebibi mbeya
Hongera Patrick, mie nimeipenda keki yako pamoja shati ulilovaa very classic,hata nguo za huyo mdau anayerishwa keki.
ReplyDeletePongenzi kwa wazazi wako pia,wanaonekana wanjari sana,hope hata shule mtakuwa mnasoma nzuri,sio za kata.