Watangazaji mahiri wa michezo Radio One kutoka kushoto Maulid Kitenge 'Jezi namba 9', Deo Rweyunga ambaye pia ndiye Mkurugenzi Radio One Stereo na Isaac Gamba ambaye ni Naibu Mkurugenzi Radio One wakifuatilia kwa makini mnuso wa wafanyakazi wa ITV na Radio One ya kukaribisha Mwaka Mpya usiku kuamkia leo hoteli ya Movenpic jijini Dar.
Watangazaji wa Radio One Reuben Mchome wa kwanza kushoto,Isaac Gamba, Maulid Kitenge na Farouk Karim wakipozi kwa picha jana usiku wakati wa mnuso wa ITV na Radio One kusherehekea Mwaka Mpya kwenye Hotel ya Movenpic Jijini Dar usiku kuamkia leo.
wadau wa ITV na Radio One Stereo wakifurahia mwaka mpya



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kitenge kaoa jamani? mana mkaka mzuri huyo nampenda sana.

    ReplyDelete
  2. ankal Farouk Karim unazidi kuwa kijana, nini siri?

    Good to see you!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. MAULID, KOTI BABA LEBO IMEKAA SAWA LAKINI MIKONO MABEGANI RUDISHA KWA FUNDI AKAREKEBISHE BABA.

    ReplyDelete
  4. Kwa nia njema kabisa naomba nimkumbushe kaka Maulid Kitenge, amesahau kutoa rebo kwenye mikono ya suti yake.

    ReplyDelete
  5. Hongereni sana wafanyakazi wa Radio One Stereooooo. You guys look so good well dressed and truly representing. I am proud of you guys for your taste in fashion pamba zenu moto kweli kweli keep it up.

    ReplyDelete
  6. We ndugu uliyeacha lebo kwenye suti huwa hatuachi lebo ukishanunua suti.

    Wanaochaga lebo ni wale wanaovaa kwa kukodi kama vile wanamuziki.

    ReplyDelete
  7. wewe annony hapo juu Rebo maana yake nini? ama kwa kingereza ulimaanisha label kwani mmezidi nyie wabongo ma L na ma R yanawachanganya. tena kama wewe sio mtu wa Musoma basi utakuwa wa Kigoma watch your R and L

    ReplyDelete
  8. wewe uliesema Maulid kaacha label pole kwa ushamba wako kwani ndio styl za label za siku hizi pole sana jiapnge kabla hujatoa comments... otherwise jamani hongereni ni kweli mko representing maana ingekua media nyingine hapo ingekua issue yani mlegezo kwa sana.

    ReplyDelete
  9. Jamani Kitenge suti kakodisha nanihiiii kule ndo mana lebo haijatolewa.

    ReplyDelete
  10. maulid wax umemendezaaa uko juu sana we acha tuumdau mdau hapo juu maulidi kaoa longi tuu na sasa ana wake zake wawili wa ndoa wa kihalali kabisaaa yuko uuuuup full handsome!!

    ReplyDelete
  11. ni macho yamgu tu, ama kuna mmoja wao amevaa suti tofauti kwenye sherehe hiyohiyo?

    ReplyDelete
  12. SI KWELI KWAMBA KUACHA LEBO KWENYE SUTI NI STAILI ZA SIKU HIZI, ACHA UONGO, NA USHAURI ULIONIPA KWAMBA NINAPOTOA KOMENTI NIJIPANGE, SIJIPANGI SASA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Wee dada hapo juu wasiliana na maulidi anaweza kukuoa maana ana wake wawili wa ndoa sasa bado kuna nafasi mbili VAKANTI.

    ReplyDelete
  14. wewe mdau wa Tarehe Mon Feb 22, 12:47:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    MKO REPRESENTING ni kiingereza cha wapi? kama kikristo hakipandi si ungeweka tu ki-bongo tu?

    ReplyDelete
  15. mdau wa saa 02:55:00 PM nadhani macho yako yako sawa tu, ila hao jamaa kuna wakati walikua katika taa yenye mwangu wa brown hv or something, ndio maana naona rangi kama sio moja.
    Also kaka maulidi ni kweli hiyo label ni ya kutoa, huo ni ushauri tu, lakini kama uliona kwa kwa kufanya hivyo ulipendeza then keep it up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...