JK akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa mwanasiasa mkongwe na mwanadiplomasia marehemu Balozi Daudi Mwakawago nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam wakati alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu.
Juu na chini JK akimfariji Bi.Daisy Mwakawago mjane wa Marehemu Balozi Daudi Mwakawago aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam.Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho jijini Dar es Salaam.Rais alikwenda nyumbani kwa marehemu kuifariji familia yake.Marehemu ameacha mjane na watoto watatu Lulu Mwakawago,Kie Mwakawago na Mtage Mwakawago





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa wote,Mungu awape roho ya rehema wakati huu mgumu sana.

    ReplyDelete
  2. florian rweyemamuFebruary 27, 2010

    the passing of a truly Tanzanian, at the age of 71, Mzee wetu, Daudi Mwakawago umetuachia majonzi makubwa, lakini sie tunaendeleza libeneke. ALUTA CONTINUA

    ReplyDelete
  3. Rais jk ni zawadi kutoka kwa mungu jamani ona alivyo na heshima katika kufariji.
    Muheshimiwa Rais kitu kikubwa cha kukusaidi katika uongozi wako ni kumuamini mungu aliye juu mbinguni na kuifanya kazi yakoipasavyo Mungu akubariki sana!na POLENI SANA WAFIWA!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Poleni sana wafiwa. Mungu ailaze roho yake pema. Mungu awape nguvu familia yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...