VIDEO MESSAGE OF HE JAKAYA MRISHO KIKWETE TO THE ZANZIBAR ASSOCIATION OF TOURISM INVESTORS (ZATI) WHICH WAS SHOWN ON THE 20th OF FEBRUARY AT ZANZIBAR SERENA INN DURING THE ANNUAL DINNER. THE EVENING WAS SPONSORED BY VODACOM AND KCB TANZANIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. yatia moyo kuona kuwa kumbe inawezekana kutumia tecknologia kufikisha ujumbe. Twajua 'tight schedules' za president, yet twazeza pata maoni yake kutumia technology without his physical presence. Great videao!!!Keep it going!!

    ReplyDelete
  2. Muheshimiwa rais, kwa heshima na taadhima kubwa. Unatakiwa uwahutubie hao watalii na wawekezaji kwa lugha yetu, kiswahili. Ni jukumu lao kuelewa kiswahili au kuajiri wakalimani. Najua kwamba wapo watanzania wengi ambao kwao kuzungumza kiingereza ndiyo kipimo cha ustaarabu na kuelimika, lakini pia tupo ambao kuzungumza kiswahili ndiyo kipimo cha maendeleo yetu.
    Jee kama hatuitumii lugha yetu ya taifa, kunakuwa na tofauti gani kati yetu na wale wasiokuwa na lugha zao za taifa?

    ReplyDelete
  3. Tunaomba na hotuba zingine mbalimbali atakazotoa Mh.Raisi wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, ziwe pia zinatiwa ktk YOUTUBE.COM

    Mfano hotuba za kila mwezi kwa Taifa, n.k. Idara ya Mawasiliano Ikulu n.k nadhani zitaweza bila taabu kutumia teknohama ili wananchi na jumuia ya kimataifa kuelewa yanayotokea Tanzania.

    Ahsante
    Mdau
    Mwananchi.

    ReplyDelete
  4. Ankal,
    Hivi kama mtu hajapitia hapa ktk blogu ya jamii akaenda moja kwa moja YOUTUBE hii Clip imebeba jina gani?

    Maana nimejaribu kwenda YOUTUBE ni kazi kweli kweli kuona hii video muhimu yenye ujumbe mzito toka kwa Mh. Raisi.

    Maana isipotundikwa YOUTUBE with audience in mind, itaishia kuangaliwa na wadau wa blogu ya Jamii na sio kuangaliwa na walimwengu wote.

    Mdau
    Beijing, China.

    ReplyDelete
  5. waalaikum salaam muheshimiwa rais,mimi namuunga mkono anon hapo juu next time tunataka tukisikie kiswahili tujiskie raha.

    ReplyDelete
  6. Naungana na mmoja hapo juu. ni vigumu sana kusearch hiyo clip youtube unless uwe unajua kuwa ipo pale. Youtube is a global website with differet videos from different parts of the world. Mara ya kwa kwanza niliina hii video at www.bongoline.com. Naona at least wanadedicate kwenye video za bongo na afrika kwa ujumla kulinganisha na youtube. Great video anyway. keep it up!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...