mdau John Japhet Mbaga akiwa na mai waifu wake baada ya kumeremeta katika kanisa la KKKT Mwanayamala jijini Dar wakiwa katika mnuso wao wa nguvu hoteli ya Istana. Bi harusi anafanya kazi kampuni ya Kearsley Travel and Tour tawi la Southern Sun (zamani holiday inn) bw harusi ni mfanyabiashara maarufu jijini
Dayness akimvika pete mai hazbendi wake
Dayness akimvika pete mai hazbendi wake
kaka samahani hii ni ndoa ya kwanza au wanapasha kiporo make age zao wote naona ziko juu sasa miaka 45+ ukizaa mtoto wa kwanza baada ya miaka kumi baadaye uanastaafu watoto wanabaki kwenye njia panda hata kama ni myumba au bishara unafanya ukishiwa nguvu hata hamu uisha.age inamata kwa mambo mengi ila wamependeza ongera zao
ReplyDeleteWatu wazima hongereni sana kwa harusi. Inapendeza.
ReplyDeletedu mtu mzima kachukua jiko? ongera sana
ReplyDeleteKumbe na wazee wamo pia....KKKT bia za nini?
ReplyDeleteWatu hawachoki kusema. Mapenzi jamani hayana age,ina maana ukizeeka usipendwe tena?au usiolewe tena?mmependeza na hongereni.
ReplyDeleteGinfizz cha ajabu ni kipi?
ReplyDeletehayo mambo ya kawaida sana tu,,, ni vyema wamehalalisha.
Alaaaa kumbe wamehalalisha kilikuwa cha haramu sio - anyway KWARESMA hoyeeeeeee! shuti watu wajisafishe nakujiweka sawa maana mwanangu karibu harusi zote wiki hii mh za kiaina aina
ReplyDeleteAN OLDMAN NEEDS LOVE TOO!!
ReplyDeleteNdoa za utu uzimani ndio zinazodumu.ujanani nyumba ndogo nyingi,na kelele nyingi ndani ya nyumba.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI, IAM SO HAPPY FOR THEM.. NYIE WAOSHA VINYWA MTAKALIA HAYO HAYO TU.. HONGERA SANA MAMAA DAYNESS.. NDOA NI BARAKA TOKA KWA MUNGU, IPO MIJITU KIBAO INATAMANI KUOLEWA NA HAIOLEWI KODOO.. KAMA KUNA MWENYE WIVU BASI ALE WEMBE.. UTU UZIMA DAWA BABU.. KWA RAHA ZAO..
ReplyDeleteIts me co-worker
Brrrrr
Hongera John Mzee wa Baru Lama kwa kuchukua jiko age isiwe kigezo cha kufanya msioane, Inshallah Mungu ajaalie iwe ndoa yenye baraka , ma haters ni wengi watabaki hivyo hivyo kuwa Manunga embe na makokwa embe .
ReplyDeletetupo Mazii filemou kashtee kalaa.
mdau UK.
hongereni sana wanandoa lakini mimi shida yangu ni kupata contact za mchungaji alieonekana kwenye picture. nilisoma nae na alikuwa choir master wangu
ReplyDelete