Pichani si mwingine ila ni Kida Waziri akionekana hapa katika picha aliopiga 1991 kwenye ukumbi wa Vijana Kinondoni, kwa sasa yuko Arusha atakumbukwa kwa nyimbo kama Shingo Feni,Penzi Haligawanyiki na Wifi Zangu ambazo zote alirekodi akiwa Vijana Jazz.

Kida pia alipitia kundi la Roots and Culture lililoongozwa na Jah Kimbuteh. Haya na mengine kibao kuhusu muziki wa dansi utayapata kwenye libeneke la mwanamuziki mkongwe John Kitime ambaye anajua anaongea nini kwenye maswala ya muziki wa bolingo nchini.

mtembelee John Kitime kwenye Wanamuziki Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Alikuwa na sauti nzuri sana na hodari sana wa stage. Namkumbuka sana. Mdau tupe picha yake ya sasa hivi.

    ReplyDelete
  2. ..jamani nifanye nini..oo nifanye nini..kiida nifanye nini..naelewa mazoea aaa yana tabu lakini nitajitahidi, kusahau....wadau kwani huu wimbo wenye hizi lrics ndio ulikua unaitwa nini?

    ReplyDelete
  3. Teh teh teh ni kweli alikuwa hodari sana, but there is more than that in her teh teh teh teh. u just have a non concentrative look at her foto and u'll realize that!! teh teh teh teh aaaaaankal bwana!! teh teh teh aminia babake kanyaga twende kaka. niko mezani wanawane karibuni kuna ugali tu mezani mboga iko ukutani teh teh teh teh aaaaaanha. hii blogu!!!!! raha kwelikweli!!!

    Mdauwa pajazzzz+titizzzz

    ReplyDelete
  4. dole tupu....
    halina mfupa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...