ANKAL NI MATUMAINI WANDELEA VYEMA NA LIBENEKE LA BLOG YETU YA JAMII, PIA NIKUPE PONGEZA KWA KWELI UKO JUU.
LEO NAOMBA TUUNGANE NA WATANZANIA WANAOTAKA KUONA MAJIBU YA KIDATO CHANNE KUPITIA LINK HII
wadau tuko pamoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante. Mbona nimejaribu kufungua Results Form Four 2009 haifunguki? Tatizo nini?

    ReplyDelete
  2. Hizo tovuti zinazohusika na elimu (MOE na NECTA) tayari zina kwikwi, zimepungukiwa bandwidth. Nimeudhika sana hadi nimewasema vibaya hao wahusika kwenye posti hii hapa:
    Tovuti yenye matokeo ya mtihani kidato cha nne mnatia aibu na kuchefua

    ReplyDelete
  3. Ohoooooooo Mwanangu pesa zote namtumia kutoka US AND A napiga Box Over Time kwajili yake Haja Pass? Simlete kusoma huku kama hajasoma huko sijui kama atasoma huku. Ngoja nimtumie Camera awe mwana Blog. Kimaro.

    ReplyDelete
  4. Jana nilibahatika kufungua matokeo ya shule moja tu kupitia blog ya Father Kidevu, nilipotaka kuendelea iligoma hadi leo.

    Asante uliegundua kuna mapungufu yakiufundi maana nishadhani nachemsha.

    Ni aibu sana kwa wahusika kwa kutorekebisha mambo muhimu kama haya najua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...