sehemu ya wakati wa mazishi ya Marehemu Mama Salma Hilary Ajmi, mama mzazi wa Juhayna Ajmi, mke wa Mkurugenzi mkuu wa Clouds FM Joseph Kusaga, aliyefariki majuzi, yaliyofanyia jana jioni makaburi ya Ngazija Upanga jijini Dar. Mola aiweke Roho yake mahali pema peponi - Amin
Innalillahi wainna ilayhi rajiun poleni sana wafiwa
ReplyDeleteInalilahi wainna ilahi rajiouna - Pole kwa wafiwa - lakini tafadhali correct hilo jina la marehemu ni Bi Salma Hilal Ajmi -
ReplyDeleteShukran
Shukran kwa tangazo - lakini tafadhali correct jina la marehemu ni Bi Salma HILAL Ajmi -
ReplyDeleteShukran
hehe jamani imebidi nicheke...huyo aloandika 'Hilary' atakua ni mmatumbi......ndio yaleeeeeeeeeeeeee 'L' kaweka 'ARA'
ReplyDeleteheheeeeeeeeee..................kwa kweli!!!