TANGAZO KWA KINA MAMA WOTE WAISHIO JIRANI NA MJI WA SLOUGH; KAMA, READING, HOUNSLOW, SOUTHALL NA KWENGINEKO.
ASSALAAMU ALAYKUM.
TUKIJAALIWA JUMAMOSI HII YA TAREHE 13/2/2010
ASSALAAMU ALAYKUM.
TUKIJAALIWA JUMAMOSI HII YA TAREHE 13/2/2010
SAA 9 MCHANA KATIKA MSIKITI WA DIAMOND ROAD
KUTATOLEWA MAWAIDHA NA BI MARYAM WA LONDON, NADHANI WENGI WETU TUMEWAHI KUMSIKIA AMA KUMUONA NA TUNAJUA NI JINSI GANI ALIVYOJAALIWA NA MWENYEZI MUNGU KATIKA KUTOA DAAWA.
KUTATOLEWA MAWAIDHA NA BI MARYAM WA LONDON, NADHANI WENGI WETU TUMEWAHI KUMSIKIA AMA KUMUONA NA TUNAJUA NI JINSI GANI ALIVYOJAALIWA NA MWENYEZI MUNGU KATIKA KUTOA DAAWA.
HIVYO BASI TUNAKUOMBENI KINA MAMA TUJITOKEZE KWA WINGI ILI TUPATE MANENO YA MWENYEZI MUNGU. NA PIA TUNAWAOMBA KUZINGATIA MUDA, NA UKIJAALIWA KUSOMA TANGAZO HILI TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZAKO.
ADDRESS NI,
Diamond Road Slough
SL1 1RT
AHSANTENI.
ADDRESS NI,
Diamond Road Slough
SL1 1RT
AHSANTENI.
Inshalah tukijaaliwa
ReplyDeleteSisi tuliombali na UK tungependa kuyasiia mawaidha ya SHEIKHATY,kwahiyo tunawaomba muyaweke kwenye MTANDAO, OLA atawajazi INSHAALLAH.
ReplyDeletesawaaaa lakini fanyenifanyeni mrudi nyumbani..........
ReplyDeleteASANTE SANA KAKA YANGU KWA KUTUTOLEA TANGAZO LETU, TUNASHUKURU SANA NA MOLA AKUJAALIYE KILA LA KHERI KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU, NA AKUFUNGULIYE MILANGO YA KHERI. INSHAALLAH. mdogo wako,nusrat.
ReplyDeleteMichuzi ahsante kwa kuwatolea kinamama hao tangazo lao, ombi langu ni kwa kinamama wa Leeds iwapo mtajaaliwa kuandaa kongamano kama hili tafadhalini mlitangaze ili na sie wageni hapa Leeds tuje.
ReplyDeleteNauliza hivi je nasisi wasomali wa kibajuni tunaruhusiwa kuja?,maana kama mawaidha yatakuwa yakitolewa kwa kiswahili basi hata sisi wabajuni tunajua kiswahili tunaweza kuja naomba jibu jamani,maana wasomali tunaojua kiswahili tuko wengi sana hapa Miltonkeynes
ReplyDeleteAsanteni
MWANAMAMA YOYOTE ALIYEMUISLAMU, AWE MZUNGU, MHINDI, MBAJUNI NK, MRADI TU UNAFAHAMU KISWAHILI, BASI MNAKARIBISHWA NYOTE. waandaaji, Slough.
ReplyDelete