Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akijibu swali kutoka kwa Watanzia waliofurika kumlaki katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Balozi wa Tanzania Moscow Capt. mstaafu Balozi Jaka Mwambi. Kuumeni ni mke wa Mh. Mwambi
Ni wakati wa maakuli
Home
Unlabelled
Mkullo atembelea Moscow
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi na kushoto ni Mke wa Balozi wa Tanzania Urusi
ReplyDeleteHAIJAKAA SAWA
endeleeni kutembelea kwa wenzenu muone kulivyo juu hivi hamuonagi aibu kidogo mkiwa huko?? mkapunguzege ufisadi na kuendelezea nchi na sisi tuweze kujidai na kwetu mmichuzi iache hii ukweli lazima usemwe
ReplyDeleteMARA NYINGI TUNAONESHWA PICHA ZA WATU WAKILA MIMI BADO SIJAJUA MAANA YA KUONESHWA PICHA HIZO KWANI WAKATI MWINGINE HUDHANI TUNAONESHWA ILI TUONE WALIOJALIWA WANAVYOKULA KUKU KWA UZI. TBC HUENDESHA KIPINDI KAMILI KWA WATU AMBAO HAWAJAPATA MLO WA MCHANA NA JIONI WAONE RAISI WAO NA MGENI WAKE WANAVYOKULA KUKU KWA UZI! HUELEZWA KILA HATUA MLO UNAPOANZA MPAKA WANAPOMALIZA NA KUCHOKONOA MENO KWA VIJITI, LENGO NI NINI HASA.
ReplyDeleteankal naiona fulanas hapa, ulikuwepo nini?
ReplyDeletesioni maana ya Mkulo kutembelea Russia peke yake wakati Ubalozi huo ni wa Tanzania Russia & Ukraine,mbona hajafika hapa Ukraine? na huo ubalozi ni wa ajabu sana,hata hawatutembelei huku Ukraine watajuaje matatizo yetu kwa kukaa tu Moscow na Kunywa Vodka?
ReplyDeleteNdiyo...naona waziri wetu anafurahia tu lakini madhumuni ya ziara ni nini? Je amekutana na bwana Aleksey Kudrin au ndiyo mambo ya shopping Gumy..mbona mawaziri wetu wakija Moscow wanaishia ubalozini tu..? Tumieni nafasi hizo kufanya vitu vya maana kwa nchi kutana na mawaziri,wafanya biashara wa kirusi ambao wanaweza kuwekeza nyumbani,au watanzania waishio Urusi siyo wanafunzi tu au wanachama wa C.C.M
ReplyDeleteMzee wa Moscow!
du naona vijana mnaomaliza mwaka huu mnaogopa kurudi home acheni upuuzi nenden bongo kaz kibao msiwe kama wale jamaa ambaoo kila mwaka wanarudia shule kisa bumu wakat ata malaya mzuri wa kirusi upati kwa hyo pesa
ReplyDeleteMINAVYONA WAJAMENI WAZIRI WETU WA FEDHA SIO FISADI,KWAMANA WIZARA YAKE NA SUTI YAKE MHhhhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteMh. balozi Jaka mwambi mbona unatutenga sana watu wa Ukraine yaani tangu uje Moscow hujawahi kuja kututembelea kabisa angalau tufahamu hata sura yako tu mzee....
ReplyDelete