Pole kwa kazi bro.

Tafadhali sana naomba kutumia blog yako, kuomba msaada kwa watumiaji wa blog yako. Ombi langu ni kwa wataalamu wa kilimo au wakulima wazoefu waniambie kama ardhi ya Mkoa wa Pwani Kisarawe, au Mkuranga yanaweza kufaa kwa kilimo cha vitunguu.

Pia kama kuna mtu ana publication zozote za kilimo bora tafadhali anisaidie kwa e mail yangu hii.

Thanking you

Regards

Jackson Samson
fairjacksam@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. iNGIA HAPA http://mitiki.blogspot.com/2009/11/vitunguu.html kama unataka maelezo zaidi tuwasiliane

    ReplyDelete
  2. Nawapeni pongezi wadau wote wawili kwa kushirikiana kujenga, aliyeomba msaada tutani na mdau wa kwanza. Tunaweza kufika mbali zaidi kwa mtindo huu kuliko kutegemea wawekezaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...