Salam brother Michuzi?
Kuna mdau kaomba msaada kwenye tuta halafu hata kudrop hawezi inakuwaje?
Mdau wa blog yetu ya jamii alikuwa akiomba kupatiwa website au kampuni inayouza magari toka japan ili asiingizwe mjini au mkenge kutokana na wizi wa online uliojikita ndani ya ulimwengu wa vijana.kuna kampuni moja inayojulikana kwa jina la Japan trade .
Hii ni kampuni ya siku nyingi na huduma zake ni za uhakika,tena wanafahamu huu wizi uliotawala sasa,wanakupatia njia zao za kuwasiliana kwa uhakika.cha msingi kwanza huyu mdau wa U.S.A.anachotakiwa kufanya aikague kwanza kwa kuingia www.japantradecar.com halafu atafanya mawasiliano nao kwa njia yoyote atakayoiona yeye inafaa kwani kuna full address na datails zao zote.Nilisema mdau kaomba msaada kwenye tuta halafu kashindwa kudrop nilikuwa na maana hakutoa anuani yake ya barua pepe ili nimsukumie hiyo address.
Kwa upande wangu hii kampuni nina uhakika nayo kwani nilishawahi kununua gari kwao long zamani nikiwa nyumbani Tz.akitaka maelezo zaidi ninaweza kumsukumia majamboz yao,anicheki kwa barua pepe yangu magangaone@gmail.com
Mdau wa blog ya jamii,
Magangaone 'Ughaibuni'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. aadhali huyo mtu hajaacha address yake, maana na mimi nilikuwa kweli nasubiria maoni ya watu ili nijue naagiziaje gari.
    asante magangaone,lakini especially kwa huyo mtu aliyeuliza hili swali na hajaacha adress yake,kwahiyo mambo yote yapo hazarani.

    ReplyDelete
  2. NJOONI TRICK MOTORS MTAPATA UFUMBUZI WA UWAGIZAJI MAGARI KUTOKA JAPAN WASILIANA NASI KWA EMAIL trickmotors@gmail.com
    +255713570031,
    +255712300200

    ReplyDelete
  3. tembelea www.litajapan.com.www.japanesevehicles.com na www.trust.com au nenda google andika japanese cars ufuate hizo wavuti cha muhimu.
    angalia mwaka wa kutengenezwa gari,mileage,kusafirisha gharama ni kiasi gani,ushuru wa TRA na bima kwani magari ya muda mrefu kam vile zaidi ya miaka 10 yana ushuru mkubwa kulinganisha na yaliyotumika kwa miaka michache au yaliyotengwenezwa hivi karibuni.Kuwa makini usitapeliwe

    Showroom za Dar es Salaam hasa Kijitonyama na Kinondoni bei ya magari sedan,salon kama COROLLA NA CARINA bei mpaka milioni 8 na kitu

    MDAU MOTO YA MBONGO NAWAKILISHA

    ReplyDelete
  4. Tatizo la tradecarview hawawezi ku-gurantee hayo makampuni yaliyomo humo ndani kwenye webpage yao, kwahio huenda ukawa mtu wa kwanza au miongoni mwa victims katika kupigwa "famfa" au kuibiwa kabisa. Cha muhimu ni ku-deal na kampuni unayoijua aidha kuwa referred na mtu au kutumia rafiki/ndugu yako alie japan. Kwa uhakiki zaidi unaweza ukaona jinsi watu walivyolizwa hapa http://www.tradecarview.com/help/blacklist/?pn=0


    =nawakilisha=

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...