Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Publications Ndugu Josiah Mufungo (kushoto)akimwonyesha Maktaba ya Ofisi yake Mkurugenzi Msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (Maelezo) wa pili (Kushoto) Ndugu Raphael Hokororo alietembelea Ofisi hiyo kwa ajili ya kujifunza,na wa pili((Kulia) ni Msajili Msaidizi wa Idara ya Habari Ndugu Ismail Ngayonga,aliefutana nae.Na wa kwanza (Kulia) ni Mkutubi wa Maktaba hiyo ndugu Mussa Hassan akielezea kitu kwa Mkurugenzi huyo leo jijini Dar.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Publications Ndugu Josiah Mufungo akiwa Ofisi kwake ( Kulia) wakati wa mazungumzo na Mkurugenzi msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (Maelezo) wa (kwanza) jinsi Ofisi yake inavyofanya kazi ,Mkurugenzi huyo alienda kujifunza na kujua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Gazeti la Uhuru .Na wa pili (kulia) ni Msajili Msaidizi wa Idara ya Habari Ndugu Ismail Ngayonga aliefuatana na Mkurugenzi huyo 

Du! Ofisi imekaa ki mwaka 80 hiyo.. yani ukiondoa ile kompyuta pale.. na kile kiti cha mchizi.. inakuwa ni 80's kabisa
ReplyDeleteDuh!! ofisi imechokaaaaaa!! waya zinapita ukutani bila dressing...mlango wa kizamani!! furniture zimejochokea, Bila kuuliza AC hakuna hapo ndani...duh!!!
ReplyDeleteKweli hizi ni ofisi za gazeti la Uhuru, bado wanaisha ka' wakati wa Uhuru. Ash tray and flowers on the table, classic!!!
ReplyDelete