Home
Unlabelled
MSIBA KIJITONYAMA NA WAZO HILL, DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli binadamu tu wadhaifu, kijana mwenye nguvu zake anakata pumzi ya uhai katika umri mdogo. RIP Karim
ReplyDeletePoleni wafiwa wote ndugu na marafiki pia. Marehemu astarehe kwa amani, Amina.
ReplyDeletepoleni sana ndugu na jamaa kwa kipindi hiki kigumu. Pia poleni medani ya michezo
ReplyDeleteAjali za kijinga zinawamaliza vijana na utawala hawana njia wala sera zozote za kuzuiya hizi ajali, kweli Bongo hakukaliki
ReplyDeleteIna lilahi waina lilahi rajuun!!
ReplyDeletepoleni wafiwa
ReplyDeletePoleni jamani!
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. You had just started your life and the future in front of you, but Allah knows best. Rest in peace...
ReplyDeleteInalillahi, waina ilaihi rajiun. Dah! ama kwa hakika mauti huja ghafla
ReplyDeletejamani so handsome so young. R.I.P karry!
ReplyDeletemvulana mdogo jamani tena handsome ivi?...poleni wafiwa
ReplyDelete