Wadau John Nditi ( kulia) Grece Msovela ( kati kati) na Halfan Diyu ,wakijiandaa kuingia kubwia nondozzz zao katika ukumbi wa mahafali ya 13 ya Chuo cha Uandishi wa habari Morogoro juzi mjini hapa
Mwalimu wa Chuo MSJ , Alhaji Ahmed Zidadu ( kushoto) , Jimmy Mengere na John Nditi baada ya kutunukiwa stashahada ya Uandishi wa habari wikiendi hii mji kasoro bahari

Mzee ...umependeza ..ni wapambe wakitoa pongezi zao kwa muhimitu wa Diploma ya Uandishi wa Habari na mwandishi na mpiga picha wa Globu ya Jamii wa Mji Kasoro Bahari John Nditi wikiendi hii
Baadhi ya wahitimu wa Diploma ya Uandishi wa Habari Chuo cha MSJ wakiwa na Mwalimu wao , Wilson Karuwesa mwenye kaunda suti baada ya kulamba nondozzz zao wikiendi hii.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Halfan Diyu, Jimmy, Peter na Ashton HONGERENI sana.

    ReplyDelete
  2. hongereni snaaa ndugu zangu wa morogoro kina Jimmy na wenzako woteeee kwa kusonga mbele nawapa big up

    Lily or Meggie

    ReplyDelete
  3. Hongera Mpiga Picha wa Globu Ya Jamii kwa nondoz, maana hutuletea pia habari motomoto kabisa za Mji Kasoro Bahari.
    Mdau
    london

    ReplyDelete
  4. Duu!Ankal tunawapomgeza sana wahitimu lakini hayo majoho ya wahitimu kulikoni???naona kama yamejikunja kupitiliza utafikiri yametafunwa na Ng'ombe halafu yakatemwa ndio yakaja kuvaliwa au ndio mambo ya Tanesco???!!!

    ReplyDelete
  5. Hongereni sana wahitimu ila mmeniangusha hayo majoho yenu hata mvuto kidogo hayana mbona??!!! vipi jamani mnaiaibisha fani tena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...