Home
Unlabelled
nondozzzz bin nondozzzzz cardiff
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongereni sana wasomi wetu mko juuuuuu mrudi hm kuja kuijenga nchi
ReplyDeleteMbona lugha changanya sasa jamani? Chuo Kikuu cha University of Wales ni kama kusema (maji ya water). Tuwe makini. Maana najiuliza, je walioandika ndio waliohitimu ama mtu mwingine? Na kama ndivyo, shule ya UK haijawapa somo la uzoefu wa matumizi ya lugha? Kutofautisha kiswahili na kiingereza katika maandishi yetu.
ReplyDeleteKwani mtu kuchapia haiwezekan acheni majungu na kujidai mnajua sana lugha za watu,mbona hats Kiswahili watu hukose jama?au ukikosea kizungu ndo hujui.?hongereni
ReplyDeleteWatu wanatoa sura tu,watoe na GPA zao tuzione hapa.
ReplyDeleteHao jamaa wanauza sura.chuo chenyewe hamna kitu.Nkunya anawatafuta sana watu akam hawa.
ReplyDeletendugu nadhani lugha ya humu bado haujaielewa,hapo kilichofanyika ni kumichuzilize(kumichulaizzzz) yaani kuiweka katika form ya inayoweza kueleweka vzuri katika michuziblog.
ReplyDeletevinginevyo,mi nawashauri wasomi hao wabaki hukohuko,maana wakirudi watakuwa maskini na watataka kuwa mafisadi,tulionao nadhani wanatutosha...bakini hukohuko,kwa sababu huko hamwezi kuiba.
Ndugu Anon wa Tue Feb 16, 04:01:00 PM...hio ni lugha changanya tu kufurahisha watu...ni kama kusema Barabara ya Morogoro Road...ni utani na twaukubali...hii blog ni ya vitu serious na entertainment twataka pia kaka/dada...
ReplyDeleteKumradhi nje ya mada.
ReplyDeleteKaka michuzi angalia email yako nimekutumia ujumbe tena maana pengine ulikuwa marked kama 'junk mail'.
Mdau
Hongera sana Abdallah.... i remember u in those days at MOA HIGHSCHOOL......hahaha much congrats kaka.
ReplyDeletemdau UA.
Hongereni sana vijana, karibuni nyumbani mlijenge Taifa letu
ReplyDeletehi kwako michuzi.mbona unaita watu mnene kwani huwezi kusema kutoka kulia.....au wa katikati!!eh bwana acha zako
ReplyDeleteMDAU WA FEB. 16, 06:01:00 PM, TUNAOMBA UTUONYESHE VYETI NA GPA YAKO KWANZA KABLA HAUJAWAULIZA WENZAKO.
ReplyDeletewatu punguzeni roho za kokoto ati chuo hakina kitu sijui upuuzi gani nyie mliosoma HAVARD mbona hamuonyeshi nondo zenu ?? eti wanauza sura na wewe leta yako tununue sijui nkuya jina ovyo kabisa kama akili yako hata msemeje ndo washakula nondo zao better late than never!!
ReplyDeleteHii ndiyo tofauti ya wabongo na wenzetu wengine wa East Africa no appreciation why jamani?tusipojikubali nani atatukubali?nyie habo juu baadhi yenu mkiwa waajiri si mtatuchinjia baharini? tubadilike guys
ReplyDeletemtu mweusi ata baki kuwa mweusi tu.they never appreciate..shame on u guys,,ndo walewale wakipata elimu wanaweza kukutemea mate..hv mtaelimika lini?hongereni vijana,mtabaki kusema wezenu wanasonga mbele
ReplyDelete