mlinzi akilinda ofisi za south african airways katika jengo la sophia house mtaa wa bibi titi street jijini dar ambazo zimeshika moto akisubiri faya wafike mapema leo asubuhi. sehemu kubwa ya ofisi na mali vimeteketea katika moto ambao chanzo chake bado hakijatajwa hadi baada ya uchunguzi wa kitaalamu kukamilika
wenye ofisi hiyo inayowaka moto, majirani na wapita njia wakihamanika wakisubiri faya




kwishnei dili hiyo .....
ReplyDeletejamani, hivi sisi tuna matatizo gani, kama bado tatizo lipo na mlipuko utokee na hao wanashangaa hapo watalalamika kweli, si waende waka assemble hata Kisutu Mahakamani basi, this is crazy!
ReplyDeleteMtoa maoni wa kwanza unaniboa!
ReplyDeleteDili gani unayofikiria wewe? Sio kila kitu DILI tu!
Kuna mambo mengine ya mungu, acha mambo ya kinafiki. Kama huna cha kuongea, nenda kalale.
Siku nyumba yako ije kuunguwa na upoteze unaowapenda, then utakuja kujuwa kumbe mambo ya moto ni ajali na mapenzi ya mungu!