Bosi wa Old Mutual JP van Niekerk akiwa na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Keys Bi Triza Ndesamburo kabla ya kukabidhi msaada wa viatu na fulanazzz
wasaidizi wa kupandisha watalii mlima Kilimanjaro,wa kampuni ya Key's wakifurahia msaada wa viatu na bosi wa Old Mutual

wasaidizi pamoja na mfadhili JP Van Niekerk wakionesha mabuti waliyopewa msaada na kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini.
wapandisha watalii wa kampuni ya Keys katika picha ya pamoja na Bw JP van Niekerk wa kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini
wapandisha watalii wa kampuni ya Key,s katika picha ya pamoja na Bw JP van Niekerk wa kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini




wasaidizi pamoja na mfadhili JP Van Niekerk wakionesha fulana walizopewa msaada na kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongereni sana Keys. Mkurugenzi wenu ni Mrs Trize Ndesamburo ama Mrs Teize Deus Mworia? hebu tupeni taarifa sahihi

    ReplyDelete
  2. inaelekea ndugu zetu walikuwa wanapanda mlima nd ndala mguuni noma mpaka kaburu aje kutoa buti lol
    Old mutual ndo kampuni kubwa kuliko zote sauz kumiliki ma bank majumba insurance kwahio mpo ktk safe hand buti zikiisha nunueni nyengine msisubiri misaada alafu function yenyewe ilikuwa kitamboo last year ndo inatolewa ktk news sasa

    ReplyDelete
  3. Thanks for your good hospitality our friend from South Africa.Welcome to Tanzania the land of Kilimanjaro, Zanzibar,the Serengeti and the business bridge to great lakes countries via Dar es salaam Port.
    ----------------------------------

    mcraynjau@gmail.com

    ReplyDelete
  4. msaada wa viatu toka ughaibuni,,,

    haki ya nani vile

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...