kocha wa simba Patrick Phiri akiwapongeza vijana wake kwa kuichapa Moro United bao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uwanja wa Uhuru jijini Dar jioni hii
Golikipa wa Moro United, Mohamed Abdallah akiusindikiza kwa macho mpira uliopigwa na Emmanuel Okwi ukijaa wavuni na kuhesabu bao la kwanza kwa Simba leo.
Mshambuliaji harai wa Simba Ulimboka Mwakingwe, (kulia) akimtoka beki wa Moro United, Stephano Mwasika wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru ijini Dar. Simba ilishinda 4-1.
Beki wa Simba Juma jabu akimtoka mchezaji wa Moro United, Yona Ndabila, na kuifungia timu yake bao la 4 wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika jioni hii Uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...