Michael Jackson katika This is It
Sema Ankal,
Aisee bana naomba unirushie swali langu la kizushi kwenye globu yetu.

Ni hivi, siku chache zilizopita nilikuwa nacheki This Is It movie/documentary ya Michael Jackson. Sasa kuna mahali akawa anafanya mazoezi ya ule wimbo wa "Akusemba kusamba makusa....akusemba kusamba makusa."

Sasa bana nikawa najiuliza, hivi jamaa alikuwa anasema nini katika yale maneno ya akusemba kusamba makusa. Basi mzee mzima nikaona noma, yaani ule wimbo wa toka miaka ya 80, lakini mpaka leo hii sijanasa yale maneno haswa.

Wadau wa globu ya jamii hebu nisaidieni jamani yale ni maneno gani?
Mzee wa Akusemba Kusamba Makusa
----------------------------------

Lyrics Wanna Be Starting Something Michael Jackson

I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
I took my baby to the doctor
With a fever, but nothing he found
By the time this hit the street
They said she had a breakdown
Someone's always tryin' to start my baby cryin'
Talkin', squealin', lyin'
Sayin' you just wanna be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
You love to pretend that you're good
When you're always up to no good
You really can't make him hate her
So your tongue became a razor
Someone's always tryin' to keep my baby cryin'
Treacherous, cunnin', declinin'
You got my baby cryin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
You're a vegetable, you're a vegetable
Still they hate you, you're a vegetable
You're just a buffet, you're a vegetable
They eat off of you, you're a vegetable
Billie Jean is always talkin'
When nobody else is talkin'
Tellin' lies and rubbin' shoulders
So they called her mouth a motor
Someone's always tryin' to start my baby cryin'
Talkin', squealin', spyin'
Sayin' you just wanna be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
You're a vegetable, you're a vegetable
Still they hate you, you're a vegetable
You're just a buffet, you're a vegetable
They eat off of you, you're a vegetable
If you can't feed your baby (yeah, yeah)
Then don't have a baby (yeah, yeah)
And don't think maybe (yeah, yeah)
If you can't feed your baby (yeah, yeah)
You'll be always tryin'
To stop that child from cryin'
Hustlin', stealin', lyin'
Now baby's slowly dyin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
I said you wanna be startin' somethin'
You got to be startin' somethin'
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
It's too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
Lift your head up high
And scream out to the world
I know I am someone
And let the truth unfurl
No one can hurt you now
Because you know what's true
Yes, I believe in me
So you believe in you
Help me sing it, ma ma se,
Ma ma sa, ma ma coo sa
Ma ma se, ma ma sa,
Ma ma coo sa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. google MJ lyrics utapata au kama vipi angalia hapa verse ya mwisho ndio maneno aliyosema.
    Lift Your Head Up High
    And Scream Out To The World
    I Know I Am Someone
    And Let The Truth Unfurl
    No One Can Hurt You Now
    Because You Know What's True
    Yes, I Believe In Me
    So You Believe In You
    Help Me Sing It, Ma Ma Se,
    Ma Ma Sa, Ma Ma Coo Sa
    Ma Ma Se, Ma Ma Sa,
    Ma Ma Coo Sa

    ReplyDelete
  2. mbwegelembwegeleFebruary 18, 2010

    Maneno hayakuwa kiingereza. Ni mtindo wa muziki makossa unaopigwa West Africa .
    Chourus hiyo husika iliimbwa na Manu Dibango zamani ktk mtindo wake wa SOUL MAKOSSA , Michael alikopi .
    Ukitaka maneno, jaribu Lyrics dot com

    ReplyDelete
  3. hahahahha, hii ki2 hata mie sikuweza kujua kwakweli ilinibidi nigoogle kupata lyrics....mamase mamasa mamacoosa, mamase mamasa mamacoosa....

    ReplyDelete
  4. hahahahah wee RIZ UKEREWE inaelekea huu wimbo waupenda sana kaka?

    mdau kiwanja

    ReplyDelete
  5. Manudibango nimwanamuziki mkubwa Kutoka Cameroon Nafikiri ukimtafuta m Cameroon atakuambia.

    ReplyDelete
  6. Teh teh!
    Hayo ni maneno ya kiswahili, kama mnaufahamu ufuta basi ndicho alikuwa akimwiimbia Akusambakusamna magusa, maana yake ni "NA MIMI NAUZA UFUTA(x2)"

    Umeupata hapo!

    ReplyDelete
  7. Wadau naombeni kuwauliza hivi ni kigezo gani kinatumika ili maada yako ikubaliwe na Ankal? Mi nimeshawah kumtumia Ankal maada tatu lakini hata moja sijawah kuiona.Juzi juzi hapa nimetuma maada ya mathematics(video clip),Ankal kaipiga chini lakini wakati mwingine huwa kunakuwa na maada za kitoto tu hapa kwny blog na zinapita. Naombeni mnisaidie wadau.

    ReplyDelete
  8. Manu Dibango alimshtaki Michael Jackson kwa sababu hayo maneno aliyakopi bila kibali chake. Yalikuwa ya Wimbo Soul Makosa ambao aliutunga Mzee Dibango. Kwa kuwa wenzetu ni wastaarabu, Michael alilimlipa yule mzee kitita cha Dolari. Hapa kwetu siyo hivyo. Yule jamaa aliutunga wimbo wa Rangi ya Chungwa yuko huko Kigoma sehemu za Ilagala anafundisha madrasa angalau apate kitu cha kutuliza tumbo, ilhali huko DSM, ARusha, Mwanza na karibu nchi nzima watu wanatengeneza pesa kwa kuupiga wimbo wake. Kwa kweli COSOTA imejitahidi lakini safari bado ndefu.

    ReplyDelete
  9. Nilisikia kwenye redio hapa Marekani kwamba hayo ni maneno Michael alicopy moja kwa moja to kwa mwanamuziki nyota wa Cameroon wa enzi hizo (anaweza kuwepo bado)

    ReplyDelete
  10. My Two CentsFebruary 18, 2010

    Sometimes a quick google search can answer your questions.

    Wimbo ali-sample toka kwa mwanamuziki toka Cameroon aitwae Manu Dibango.

    Just google soul makossa

    ReplyDelete
  11. ni ya manu dibango na michael alikopi bila idhini ya manu akamshitaki c kingereza hicho

    ReplyDelete
  12. kwa kweli hata kama alikopi lakini kikoras ni kitamu sana kuliko hata huyo mmiliki orijino

    ReplyDelete
  13. -Yaani nakubaliana na Ndg Mbwegelembwegele,kajibu swali vilivyo maana na mimi nilifanya google search kuelewa ni nini maana ya maneno hayo.

    ReplyDelete
  14. Hayo maneno yanasema hivi.. "Kishtobe nipake mafuta, kishtobe nipake na kucha"

    ReplyDelete
  15. akusemba kusamba makusa
    alienda kusema kwa musa
    na yeye musa kanusa
    ikanukia sambusa

    ReplyDelete
  16. wanasema kishtobe kachamba na kucha!

    ReplyDelete
  17. Maneno ni Namsamba upake mafuta

    ReplyDelete
  18. Nyoote waongo, anasema hivi
    " Anataka kuchamba na kucha"

    ReplyDelete
  19. tutakumiss MJ for ever

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...