TTCIH is supported by a non-profit private partnership between the government of Tanzania (http://www.tanzania.go.tz/government/health.htm), Novartis Foundation for Sustainable Development http://www.novatrtisfoundation.org) and the Swiss Tropical Institute (http://www.sti.ch) Mwalimu Nyerere, then Prime Minister of Tanganyika, inaugurated the centre in 1961
(was he using a cellphone then?) a modern library with PCs, cable, wireless internet etc.
In collaboration with its neighbouring institutions - the St. Francis Designated District Hopital and the Ifakara Health Research and Development Centre, it provides access to training and research facilities as well as access to a 370-bed hospital with medical specialists in paediatrics, gynecology and public health.
teh teh! hiyo 120-seater auditorium imependeza kwelikweli teh teh teh aaaaaaaaanha!!! aaaanko na ifakara. kaka nimeipenda sana hiyo taswiraz ya 120-seater auditorium ama kweli we ni mpiga picha profeshno na intaneshno!
ReplyDeleteMdau wa pajazzzz+titizzz
Mobile ? Hahahaa Alikuwa anaongea na Wazee wa Katibaaaaaaaaa kuleeeee Sumbawanga au Bagamoyo au Pemba. Pazi.
ReplyDeletemithupu, lete pajazzz na titizzz kutoka ifakara, then wadau tutachangamka kwenda kula vekesheni huko.
ReplyDeleteinawezekana ni cell phone maana jamaa si unajua zile pale...kama zile za nimeota sehemu flani kuna vita kumbe kacheki luningani.
ReplyDeleteKaka Michuzi twashukuru sana, hapo awali nilishawahi sema Tanzania tunavitu vingi sana ambavyo havijulikani, nawe umethibitisha hilo, keep it up!
ReplyDeleteMWalimu hapo Anajikuna tu. Nakufikiria aje na mbinu gani mpya?.
ReplyDeleteWE CAN TURN IT INTO UNIVERSITY, OUR GOVERNMENT SHOULD THINK OF THAT.
ReplyDeleteNimeangalia kuna kozi nzuri sana ila ni chache. Sasa kwanini wasipeleke watu kusoma disaster medicine and health crisis management wakati kila siku kuna majanga, mafuriko, moto, n.k sasa ni wakati wa kubadilika na sio kufikiria kufisadika tu health care ya Tanzania ina hitaji a big overhaul ukizingatia waliobobea wanazeeka na kustaafu wanahitaji kupeleka vikosi vya vijana kwenye kila idara kusoma waje wajenge taifa kwani magonjwa na matibabu yamebadilika sana sasa hivi sisi bado tuko mwaka 47
ReplyDeletewhat a great institution! I dare to say the website is the best among Tanzanian educational institutions. Heko to you!
ReplyDeleteivi kumbe kuna vitu vizuri ivi?
ReplyDeleteaisee yani leo ndo nafahamu kuna training institution km hii...
kitu adimu sana iki na kitansaidia kujuza staff wangu apa...lol
asante ankal