Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ankal ninaamini miaka 15 to 20 ijayo watanzania wanaokua sasa hivi na kwenda english Medium schools watakuwa wanaongea kiingereza chenye confidence. Lugha ya kiingereza ni muhimu sana unajionea mwenyewe watu wanavyojing'ata hapa wanaongea kiingereza kama kihaya! samahani wahaya but this is complement! haahaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. mbona wanaongea kiingereza freshi tu? au wewe mpaka watu waongee na accent ya kulazimisha ya kimarekani au kibritish ndio utamuona anaongea kiingereza freshi? I congratulate hii taasisi, naona wanafanya mambo makubwa.

    ReplyDelete
  3. Hahahhhh! Unafurahisha kweli. Inabidi watanzania tutambue kwanza kujua lugha ya kuwasiliana hasa katika kipindi chiki cha Sayansi ya Technolojia (karne ya 21). English ndiyo hasa kwetu nchi mwanachama wa Jumuiya za Madola(Common Wealth)inabidi kukipa kipaumbele ili tuweze kuwa washiriki hai.

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kabisa inabidi watanzania kulitambua kwamba, lugha ni chombo cha kufikisha ujumbe/kuwasiliana na upande wa pili. Sasa hawa wanasayansi wetu wemewekwa ndani ya maabara hata lugha ya kutumia kufikisha ujumbe ni shida. Hili inabidi hata Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi walitambue na kuwe na mtazamo mpya namna ambavyo kiingereza kitafundishwa mashuleni, hasa ngazi za chini kabisa ambazo nizo zinafaa kumkunja samaki.

    ReplyDelete
  5. Kinachotuponza sio Kingereza ni kutokuwa na confidence, ni muhimu mtu kuwa na confidence, kama umesoma, unajua unachokielezea sioni sababu ya kujiumauma kama mtoto mdogo,ongea toa sauti, mtizame mtu usoni, kuwa free,msiopoge rangi hao ni watu kama mimi na wewe, unaweza kuongea broken tu, lakini kujiamini ni muhimu, sio wazungu wote wanajua kuongea Kingereza, akija Mjerumani atakuongelea broken english tu, Mtaliano, waholanzi, wafaransa and and, kwahiyo muhimu ni kujua unachoelezea na kujiamini!

    ReplyDelete
  6. Very good point, Watanzania tuliamua kutumia lugha yetu ya kiswahili, kama mtu hawezi kutoa maelezo kwa english toa tu kwa lugha yako au andaeni mkalimani wa kusaidia tu pale kwenye tukio, hayo maelezo yalikuwa ni muhimu kwa Watanzania kuhusu kituo hicho.MIMI NAISHI UK, NAFAHAMU ENGLISH VIZURI SANA, JE HIYO KAZI NA MAELEZO YA MAABALA NAIFAHAMU? LUGHA SI UTALAAM.WATANZANIA TUSIWE WAJINGA, TUENDELEZE LUGHA YETU YA TAIFA, WAGENI WAKIJA WAJIFUNZE WAO KISWAHILI. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...