Home
Unlabelled
tiger woods
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tiger Woods anaomba msamaha vipi tena..!!
ReplyDeleteAfrica Tiger Woods shujaa..kuna rafiki pale Mango Garden anajiita Tiger Woods kwa sababu ana mahela ya kuhudumia totos kama Tiger Woods
Huyu anafikiri mtu akiwa maarufu na tajiri ndiyo anaweza kufanya kila kitu anachotaka? Ona sasa aibu kubwa usoni imempata. Ana adabu huyu
ReplyDeletehuyu jamaa vp tena, anaomba msamaha tena wa nini? mwanaume unatakiwa uwe hivyo. huko kwetu mama mzazi wa mwanaume hufurahi anapoona kijana wake anakamata totos kwa sana, anajua amezaa mwanaume kamili ana uume wake ni uume kweli uko kamili.
ReplyDeleteCall me skeptic or whatever you like but to me he was apologising to the goddess of money, wealth and power through her disciples - Nike, Gillette and others.
ReplyDeleteBill Clinton, Tiger Woods, John Terry, Jacob Zuma, ni wanaume halisi. mwanaume yeyote aliyekamilika lazima kuchapa totos wala huhitaji kuomba msamaha kwenye zali za totos.
ReplyDeleteHold up now all you self righteous haters. The man is a huMAN being...he ain't no prophet, messenger, not even a saint. Huo u role model wamempa watu...hakugombea kura za watu kuwa role model.
ReplyDeleteHe's not the first man to commit infidelity, and he's not the only one. To all of you ladies who are so disguisted by his action...your man would probably have more mistresses if he had the power and opportunity. To you men who are cheering for his low point...come on now.
Tiger amefanya makosa, but look....what about those women he's been sleeping with, didn't they know he was married...did they even think about his wife while they were having these affairs?
Shame on all those mistresses....hawana hata aibu.
Mwisho...naona madada wamepata pointi ya kutushambulia wanaume (for the wrong of one man).
Well....Tiger is ONE man who betrayed his wife. Those 12+ WOMEN slept with him knowing that he has a wife...kihaki kama tunalaumu jinsia kwa ujumla tuwe fair...One man commited a sin VS 12+ women.
Do they have even a little empathy for a fellow sister in humanity???.
Anon wa Feb 21 5.29pm John Terry ni nani au ulikua unamaana John Edwards?
ReplyDeleteWadau naona mnashindwa kuelewa, aliyoyafanya tiger hayahusiani kabisa na hela, power wala nini ni tabia tu. Ni tabia kwa maana kuwa hapa bongo kuna wakware na hawana hizo fweza, wala power nk.
ReplyDeleteKwa baadhi ya taratibu na tamaduni ulimwenguni yeye ni kidume kinoma kwa mfano kule kwa kina zuma(bondeni) etc.Ila kwa jamii anayoishi tiger ni tabia ambayo haikubaliki na ndio maana kajitokeza kuwataka radhi wale wote walioathirika na tabia hiyo.Huyo ni muungwana na anastahili msamaha maana kakiri kosa na ameahidi kujirekebisha mbele ya kadamnasi ya ulimwengu. Kitendo alichokifanya hata kwenye vitabu vya kiimani kinakubalika .
La msingi ni kwamba kwa kuomba msamaha Familia imeridhia na anaendelea kuridhiana na mkewe, wafadhili wake wako pamoja naye, na wale wachezaji wenzake wako pamoja naye.
Binafsi nasema ni muungwana....
Wee Anony wa Feb 22, 04:22:00 am. UPO WAPI DADA? AU KAKA? KATIKA ULIMWENGU HUU?????
ReplyDeleteUmeuliza ati JOHN TERRY ni NANI???? ukifikiri mwenzio kakosea, ati unamsahihisha au the person meant JOHN EDWARDS??????
pole ndugu. ni JOHN TERRY mdau hajakosea. wewe ni wazi hufahamu na ni ajabu kwasababu JOHN TERRY NI VERY FAMOUS FOOTBALLER anachezea CHELSEA na alikuwa kwenye matangazo ya habari ulimwengu mzima, kwani alifanya kama alivyofanya Tiger Woods ku-cheat on his wife. na akavuliwa taji la kuwa ENGLAND CAPTAIN.
Natumaini nimejibu swali na nimekuelimisha.
sawasawa mpasheni huyooo kazi kukurupuka tuuu kwani na wewe huyo john edward ni nani? na hatuendi kusachi google wala nini ungeanza wewe na ungepata jibu fasta sio kujitia mjuajiiii nyooo bongo land utawaambia nini kuhusu englishi primia ligi? weweeee acha kabisa muulize ankal
ReplyDelete