Home
Unlabelled
Toleo jipya la Bang! kuwa mitaani karibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi mimi ni napenda bang niko nje..lakini nimechikizwa na hiyo haeding HAITI IN CRISIS what can we do to help haiti??
ReplyDeletethats bullshit sisi wenyewe tunaomba misaada bado tunauwezo gani wa kusaidia Haiti, you do not even mention about kilosa??? our fellow tanzania suffering with the floods.
typical tanzania kufata mkumbo sababu wengine wamefanya
Umesema kweli hapo maana "charity begins at home"akina haiti wana misaada inaingia kila kona...kilosa?ipo lakini sio ya nguvu.Tubadilike
ReplyDeletekwako Anonymous wa Tarehe Tue Feb 09, 10:57:00 PM
ReplyDeleteKila binadamu ana haki ya kuamua anamsaidia nani usiwapangie watu mifuko yao. Pili HAITI WANAHITAJI MSAADA WA NCHI YOYOTE DUNIANI SABABU WAO NDIYO MASIKINI KUPITA NCHI YOYOTE DUNIANI.mafuriko ya kilosa yanaweza kuwa handled na serikali kama ingekuwa inataka na isitoshe m kufananisha issue ya haiti na kilosa ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.halafu statement yako "Michuzi mimi ni napenda bang niko nje" kwani ukisema tu napenda bang bila kuongezea niko nje ujumbe hautakuwa umefika?
I ageena mdau wa Wed Feb 10, 12:39:00 AM... maji yanakauka
ReplyDeleteOk, liko kwa njia laja - good news.
ReplyDeletehabari michuzi,
ReplyDeletemimi sijaona kuna ubaya Tanzania kuitangaza haiti kwa msaada, but ingekuwa vizuri kilosa kwanza maana ndo nyumbani, pili sijapenda kuwaweka blu 3 picha kuuuubwa then ray c mmeweka maandishi madogo hakuna picha hata kipisi, jaribuni kupenda nchi yenu bwana, wageni wanaponunua magazine watawasoma blue 3 na sio ray c,hata watanzania wenyewe wangependa wasanii wao wawe juu kama wa nje, wagand wao wameendelea sana tofauti na sisi,wamesoma wako juu kimuziki, so wainueni basi hata wetu kimtindo. me ni hayo tu! ila jaribuni kubadili cover lenu msituboe bwana mbona tz kuna wasanii kibao tu.
Anonymus wa Wed Feb 10, 09:08:00 AM
ReplyDeleteNot just anyone anaweza kuwa kwenye cover. U need to have a story u know... na for ur information picha ya kwenye cover ni mvuto mtu na sio kuuza sura... this is business and nothing more. I don't hate na pia siwatetei Bang but keep in mind Coverstory siyo ya Ray C wala hao blue 3.
Ukisoma vizuri utagundua cover inamhusu Tausi Likokola Mtanzania mwenye mafanikio makubwa katika anga ya mitindo...
Kama hujalipenda lipotezee tu. Keep it up Bang Magazine We love you guys
Maji yanakauka sawa kabisa lakini nyumba zimebomoka, barabara vimeharibika , reli imearibika madaraja n.k watutakribani elfu arobaini hawana makazi.
ReplyDeleteIt was the right time to rise awareness about kilosa tanzania ni maskini tuu kama haiti zote ni LDCs. amerika ambaye ni next door supose to do alot sababu yeye anafaidika kuuza bidhaa zake hapo.
wewe women achievment awards commttiee...need to rectify that
Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.PERIOD!
ReplyDelete