Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. duh haya tena kina pedeshee wa uk kazi kwenu mijimama itakuja na alama zao kabisa


    kama kijani ujuwe beba mzigo ni wako

    kama njano mtafutie time umuulize matatizo yake alafu umshauri ampige chini mumewe aje kwako

    na ukiona nyekundu kaa mbali maana ukigusa tu ujuwe vita..

    kaaazi kweli kweli sijui namimi niibuke huko

    ankal usitoe macho wewe tayari una nyekundu.....hahaha

    ReplyDelete
  2. mtaleta lini hilo li party Marekani?????????.karibuni summer time.

    ReplyDelete
  3. Haka kamtindo mtuletee na hapa bongo pia. Kusema ukweli, mtakuwa mmeturahishia sana mambo.

    ReplyDelete
  4. Kaka ulikuwa wapi bongo lipo siku kibao movenpick hotel lipo kila mwishoa wa mwezi tuko juu bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...