mdau wa Double Tree by Hilton akifurahia zawadi ya fulanazzzz aliyopewa na ankal muda mfupi uliopita kutokana na huduma yake yenye weledi na tabasamu daima katika kiota hicho kipya cha minuso kipo maeneo ya oysterbay njia ya kuelekea slipway, lile jengo unalolitazama kabla ya kukata kulia barabara ya vumbi
sehemu ya bwawa la maini la Double Tree

bustani mwanana

kiota cha maraha juu ya maji. hapa leo saa hizi yamekupwa


sehemu za nyuma za hoteli hiyo






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. its at a great location na service ni nzuri ila kinachoniua kuliko vyote ni msosi wao......chakula ni kizuri sana kweli Hilton imeleta mapinduzi kwa hoteli za Tanzania

    ReplyDelete
  2. Samahani mzee wa tegeta, je naweza pata kontakti za hilton, pamenifurahisha sana nataka wasiliana nao.

    ReplyDelete
  3. Ttehehe he he, hapo mahali freshi sana, du..!!, nikitua dar na kabajeti ka box nitakapunguzia hapo. Raha kujipa mwenyewe

    ReplyDelete
  4. Hiyo Sio Hilton Ipo Chini ya Hilton Hotel kwahiyo Sio Official Hilton Hotel. Kimaro.

    ReplyDelete
  5. HIYO NI MSASANI SIO OYSTERBAY.

    MSASANI HUKO SLIPWAY MPAKA KUELEKEA KWA NYERERE MPAKA MSASANI CLUB KARIBU NA KAWE, PWANI ILE NI MSASANI UTASIKIA WATU MIKOCHENI KUNA BAHARI MIKOCHENI HAKUNA BAHARI ILE NI UBAVU WA MSASANI.

    HAPO KABLA HAKUJAJENGWA UTOTONI PIA KABLA SLIPWAY TULIKUWA TUKIENDA KUCHEZA SANA KULIKUWANA DARAJA LA ZAMANI KUNA MSIKITI UKIJA NYUMBA WA 1936 NA KUNA MAMWINYI WA HIYO SEHEMU WANASEMA KULIKUWA NA KIBANDARI NA SOKO LA WATUMWA MIAKA YA ZAMANI SANA. PAZI.

    ReplyDelete
  6. ankal....tanzania tumejaaliwa mahoteli,kama serikali nayo ingetimiza wajibu wake kujenga barabara na huduma nyingine hakika BONGO INGEKUWA TAMBARARE

    ReplyDelete
  7. How much per night?

    ReplyDelete
  8. Oh My God! Kumbe kuna sehemu bongo pazuri kushinda Dubai(Dubai kuzuri kushinda ulaya). Wooow. Utafikiri Mandalay Bay!

    ReplyDelete
  9. wewe kimaro hapo juu acha uongo. Ni hivi double tree ni brand ya Hilton ni hiliton hao hao hii ni ujanja unaotumika kibiashara ili kutoa huduma kwa magroup mbali mbali ya walaji. double tree ni hasa kwa wasafiri na wafanya biashara (travelers and business) huku ulaya huwezi ukaona watu wa honey moon wanakwenda double tree labda wakiwa Airport, watakwenda Hilton Grand vacation na Conrad.

    Asante.
    Fisadi

    ReplyDelete
  10. fisadi na kimaro wote hapa juu, hii isiwasumbue kichwa. Hii ni management company tu. Leo utaona hii inaitwa double tree na kesho na kesho kutwa itakuwa inaitwa holiday inn baada ya kurekebisha kidogo na kupaka rangi ya kijani na light blue. Unakumbuka sheraton walivyo kuja na mbwe mbwe wako wapi sasa? walifunga virago na kuondoka.Leo hilo jengo lime kuwa na majina kumi kidogo. mara-movenpik,mara sunset, kesho litaitwa "mama ntilie", hivyo hii isiwanyime usingizi,.
    asanteni sana.-
    Kauchape

    ReplyDelete
  11. Subirini miaka ya nafuu ya kodi ipite hiyo sehemu ipate jina jipya.

    ReplyDelete
  12. FISADI mwenzako Kimaro ndio kapatia alichotakakusema ni kwamba hiyo si Hilton Hotel Sababu wamesema hapo juu nani kasema Tanzania hakuna Hilton Hotel? Hiyo ni Double Tree ipo Chini ya Hilton Hotel. Hakusema kama Si Bran ya Hilton Hotel. Kama ulivyosema ni Biashara tu.

    ReplyDelete
  13. sasa michu umekosea tuwambia hako kabei kao navisenti vya box muda si mrefu nitatua dar nimependa onetime nikajidai

    ReplyDelete
  14. kwenye mambo ya business za hospitality industry kuna kitu kinaitwa francising yaani mtu anafanya biashara kwa kutumia jina lako ila inatakiwa afikie kiwango tu anatumia jina,mfumo wa huduma nk.Faida yake ni kwamba mwenye jina francisor anajulikana na kujitanua zaidi na kwa mwombaji yaani francisee anajulikana kibiashara maana mtu huweza akawa na jina akakosa kujulikana na kwa uzoefu watu huvutiwa na jina zaidi INAWEZEKANA HIKI NDO KILICHOFANYIKA OTHERWISE HILTON NI RARE kuja kuinivest sehemu kama hii

    ReplyDelete
  15. jamani hapa mi nimesheenda kwa kweli ni sehemu nzuri mandhari tulivu ila tu
    pale kwenye bar ukienda kunywa jiangalie sana ni wezi sana wa bill yaani wanachomekea kishenziiiii

    ReplyDelete
  16. yeah mambo ya hotel frincising c hilton yenyewe ni mtu amepewa rights ya kutumia jina -MDAU HOSPITALITY INDUSTY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...