Bofya Link hii hapo chini upate data kamili
http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Well, si mbaya, as I see it, its good. Lakini you have to make it clear kwamba hiyo ni ranking ya 'web presence' i.e it 'measures the activity and visibility of the institutions' na sio measurement ya educational services au quality ya chuo, because Cambridge itakuaje no. 27 wakati its no. 2?! Kwahiyo mkiendelea kubofya website ya Mlimani inaweza kupanda mpaka top 10 in Africa!
ReplyDeleteDuh SOMALIA MOGADISHU IPO wanasomea ninihuko KWELI ZARAU SI NZURI tunasema wa Nigeria na Ghana kimasomo wametuzidi kumbe hakuna kitu. MAKERERE Imeanguka kweli ya UGANDA. SEIF HASSAN
ReplyDeletekatka 100 ni vyuo viwili tuu vya bongo. UDSM (24) na SUA (82).
ReplyDeleteHivyo vingine mnavyovisifia eti ni bora kuliko vikongwe hivi mbona havimo? au uzalendo wa roho korosho?
Si mchezo, UDSM cha 3,750 duniani! Kimejitahidi ingawa kimeshuka kidogo kuna kipindi cha miaka ya nyuma kilikuwa chini ya hapo kidogo.
ReplyDeletekwa mujibu wa 4icu.org university ranking za mwaka huu UDSM ni wa 10.
ReplyDeletefungua "http://www.4icu.org/topAfrica/" utapata data
Si ajabu kuona katika link zote mbili zilizotolewa na wadau katika comments zao ni vyuo viwili tu vya Bongo vimeingia kwenye top 100 ya Africa. Ndo ukweli wenyewe japo kuna baadhi ya wadau hawatoweza kukubali.
ReplyDeleteHizo ranking ni unafiki mtupu! Katika www.webometrics.info, UDSM ni ya 24, Makerere ni ya 15. Ukienda www.4icu.org, UDSM ni ya 10, Makerere ni ya 28! Ranking zote ni za 2010. Ukiangalia US based websites, TOP universities ni za US, na ukiangalia UK based sites, TOP ni universities za UK!!
ReplyDeleteukiangalia kwa world rank tunajitahidi sana africa maana america tu ina vyuo kama 6000,ambavyo watu huwa wanadhani ndio bora zaidi au europe.niko coventry uni sikujua kama tunaweza kuwa sawa na mogadishu university kwenye world rank du bora kurudi home tu.bongo tambararees
ReplyDeletepamoja na hiyo http://www.4icu.org/topAfrica/ bado kuna vyuo viwili tu vya tz ktk hiyo top 100, sasa sijui mzumbe, st augustine, tumaini watu wanafanya nini duniani hata top 100 africa imewashinda? halafu mnakuja kuja kulalamika upendeleo wa kazi, sasa kidunia si saut siitakuwa ya 100,000
ReplyDeleteWATU WENGINE BWANA SASA UKIANGALIA USA BASED LAZIMA UPATE USA NI TOP SABABU NI TOP USA BASED ZA AMERICAN A UK NI TOP IN EUROPEAN TUMIA AKILI NA VYUO VYA USA NDIO VIKO JUU SABABU YA MAENEO BORA ELIMU NA UCHUMI WA HIYO SEHEMU OXFORD IMEANGUKA. UKITIZAMA AFRICA UTAONA SOUTH AFRICA.
ReplyDelete