Just when you've seen it all....
Enter A Wedding in ShanXi
Traditionally a very poor region of China until the discovery of vast coal deposits. Have a look at a wedding involving one of the coal boss' family.
Enter A Wedding in ShanXi
Traditionally a very poor region of China until the discovery of vast coal deposits. Have a look at a wedding involving one of the coal boss' family.
6 Jeeps for the camera team, 4 Ferraris lead the convoy of 4 Rolls Royce main fleet 6 Mercedes 6 Bentleys 20 Audi A8s Hummer at the back
du hii kali well planned. imecost how much? i wud like to have mine in bongo just like that one even more than that. i will hire all vipanya's what do you think?
ReplyDeleteMmmmmmmmmmmmm?!!! inakuwaje?!, kumbe ht wazungu nao hawako cost-coscious!!!
ReplyDeleteafu unakufa waenda shukia kuzimu
ReplyDeletebora lipi?
Ukuwa na mbesa bwana unaweza jikuta hata garama hujali.wazingu ni maskin ndo mana wanajali sana hela
ReplyDeleteEbwaneeeeeeeeeeh, ni noma hii, halafu waachane kesho kutwa!!!!!!!!!!!!! Money can do everything which can be made by a human being
ReplyDeleteSASA WANAO JIGAMBA WAME OLEWA MMEONA ARUSI???????????? NGOJA NA MM NITAFUTE MCHINA MANAKE NAONA WAZUNGU AWANA LOLOTE LOL.....
ReplyDeletehaya mbona mambo ya kawaida kabisa miji yenye mabilionea na mamilionea kama moscow na ny haya mambo daily kla weekend mi mwenyewe naplan nikichoka mibard ya mbele nrud home nfanye k2 zaid ya hcho
ReplyDeleteHII INANIKUMBUSHA HARUSI YANGU NILIYOFANYIA MKOANI MBEYA MWAKA JANA, TOTAL COST ILIKUWA TSHS4,000,000 IKIINKLUDI NA GHARAMA ZA FUNGATE, KUTOKANA NA HIZO GHARAMA MPAKA SASA BADO SIJASTEBOLAIZI FAINENSHALE. KWELI DUNIANI TONATOFAUTIANA SANA
ReplyDeleteWe Anon hapo juu unadhani kila mtu mwenye ngozi nyeupe ni mzungu? Umeona mzungu wapi kwenye hizi picha?
ReplyDeleteutafikiri hawatakufa
ReplyDeleteHii ni China...hayo magari yote ni FEKI...yanafanana tu na magari ya Ukweli..!!!
ReplyDeletealafu makamuzi pale pale chooni ngoma drooo
ReplyDeletehakuna lolote fanya wewe hapa dar unapigwa kipapai harusi haifiki hata miezi 6 mmeshaachana au mmoja wenu anakufa ooh.....
iga ufe
and we thought communist way of life is poor an humble, never have been and never will be, the rich and powerful live in even more luxurious and extravagant life style than in a capitalistic countries. Even Mao had a harem in his palace!! China is on the way to be the next Super Power taking over from USA !!!
ReplyDeleteHuyu jamaa,nahis anakunya gold na diamond.
ReplyDeleteMm na mtafuta mchina wazungu awana mana wame kondeana shida tu,
ReplyDeleteHawa ndo wachina bwana, masikini wenzetu matajiri wa roho wanavyojua kutanua.
ReplyDeleteUlaya! ulaya! masikini wa kutupwa!!!
michu,
ReplyDeletemmh hii kiboko but is it true? sidhan kaka
uuuuwiiiiiii huh!
ReplyDeletekama arusi ya US BLOGGER hivihivi!!
ReplyDeleteWanajitahidi jamaa lakini show off imepitiliza sana. Huwezi kukuta hii kitu Ulaya sababu wazungu wanaubinafsi so hawawezi kuchangishana.Mtu akioa hualika watu waje kusherehekea ila huyu Mchina kapigisha donee kwa washkaji zake wamemwazima magari hayo. Pia nakubaliana na mdau wa Mon Feb 22, 03:25:00 PM. Maana hata mtoto aliyeimba jukwaani kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic hakuwa mwenyewe halisi aliyetakiwa kuimba kwani mwenyewe meno mabaya angeharibu picha. soma hapa uone Chinese walivyo hatari
ReplyDeleteAnon Tarehe Mon Feb 22, 02:56:00 PM, Umenipasua mbavu aisee...
ReplyDeleteHIVI WAJAMENI JOHN MASHAKA KAOA? AU ANATAFUTA SIFA HUKU KWENYE BLOG?
ReplyDeleteKAMA ANATAKA SIFA BASI HII NDO JINSI YA KUOSHA SURA NA KUONDOA NUKSI.
MASHAKA KAMA UMEOA, BASI KWENYE ANNIVERSARY YAKO FANYA HIVI, ILA KAMA UNATAKA KUOA BASI HUU NDO MTOKO WAKE.
KUTULETEA PICHA ZA WAMI SIJUI MIKESE, HAMNA DEAL.
BABA UBAYA
MNATUELIMISHA NINI KWENYE BLOGG YETU YA JAMII? SASA MTATUFANYA TUIBE NDUGU, HAYA MAGARI THAMANI YAKE NI KILIMANJARO KEMPSKI YENU.
ReplyDeletewatu wa njano wanahela.
ReplyDeleteONA JINSI WATANZANIA WALIVYO NA ROHO ZA KIMASKINI. YAANI KUONA HARUSI YA CHINA HIVI TUU ,OOH CHINA NDIO KUNA HELA OOH WAZUNGU NINI WAMEKONDEANA...OOH. HIZO NI DALILI ZA UJINGA NA KUJIONA HATUWEZI. HIVI MNAFIKIRI KILA MTU CHINA ANAISHI HIVYO? HAMJUI CHINA NDIO NCHI YENYE CHEAP LABOUR KULIKO NCHI NYINGI. FANYENI KAZI KWA BIDII MATUNDA MTAYAONA MSIKILIE KUDHANI ETI UKIENDA HUKO UTAPEWA TUU. HUYO MMESHAAMBIWA NI MMILIKI WA MGODI AU MTOTO WA MMILIKI WA MGODI, NI BILLIONAIRE HUYO.. MNAFIKIRI NI MWENZANGU NA MIMI HUYO?
ReplyDeleteujinga mtu...ndugu zao wanaomba ukimbizi ulaya....wanataka kujifanya wamrekani????washamba tu.
ReplyDeletemdau money uk
Wadau mimi niko China Hapa mwaka wa tano sasa,hilo kweli ni tukio la kweli na bado ni kitoto ,kuna matukio mengi sna na ya kutisha, huku wachina wana pesa bana,ilo wabongo inatakiwa mkubali.
ReplyDeletehawa jamaa population yao ni 1.4 billion, 200 million people ni wachina ambao wana pesa yaani wao wana uwezo wa kubadili gari kila mwaka,na gari huku sio second hand, brand new... Kusafiri kila mahala duniani, na kufanya any fucking shit,
kwa kucheck hiyo population ya 200 million people wenye pesa hatari,ni sawa kabisa na population ya USA.
ILA WANA AKILI YA KUTAFUTA PESA AJABU, HAWALALI
.. that's a self esteem state!
ReplyDeletewewe mtoa maoni hapo juu umeona mzungu hapo juu au kila mweupe wewe unaona ni mzungu.
ReplyDeleteNAAMIN WATU KAMA HAWA UKIMWAMBIA KUNA KUFA ATAUMWA...HAWA WATU HAWAJUI KUFA....
ReplyDeletewazee wa feki unaweza ukakuta hayo yote si magari halisi si unajua mchina tena ila sikujua kumbe mchina naye ana mambo ya kihaya
ReplyDeletenyie ambao kila kitu cha kichina mnaona feki, badilikeni, vitu feki wanavitaka wafanyabiashara wa bongo wanaokuja kununua vitu china, wabongo wanapenda vitu cheap cheap ndo wanatengenezewa kutokana na hela zao, kwani hawapo serious jitu linatoka mbali huko linakuja kununua vitu substandard kwa sababu anaogopa vyenye ubora ni bei kubwa, wachina wanapenda vitu vya maana na sio feki feki wanatengenezewa wanaovitaka, china sasa inatengeneza karibia kila aina ya gari, juzi juzi wameshanunu brand ya hummer na zitakua zinafyatulia uchina, wako kwenye deal na volvo na itanunuliwa muda si mrefu, mg rover ishachukuliwa siku nyingi na vitu vikali vinatoka tuu, ferrari na makampuni mengi ya uchina ya magari yanashirikia na kuna uwezekano hizo ferrari zimetengenezwa china.wabongo tunalalamika tuu, kwa nini hata sisis tusitengeneze vijiti vya menu feki(fake tooth stick) wabongo tumegundua sana ni ngoka eleven, na dawa za kuvuta wachumba.jitu lipo ofisini lisaidie watu lakini halisaidii, kila kitu ni sinema na madeal ya ajabu ajabu, tuipende nchi yetu wabongo na kila zuri linalofanyika tushukuru na kuwapa moyo waliofanya ili wajitahidi na kufanya mengine meazru zaidi
ReplyDeleteAisee...hii sasa kufuru,yaan kwa hapa kwetu na ma foleni yetu mpaka j2 kitu kama hii msala(dont ever try this at home)
ReplyDeleteThis is our Money, tuko busy kununua mpaka toothpick/viwembe/hengachifu kutoka china, wakati bongo chelewa kibao!!!imekula na itaendelea kula kwetu for another century
ReplyDeleteHaya yoteeeee ni matokeo ya VIONGOZI FAKE WA AFRICA.Africa viongozi woteee ni fake, Tanzania hakuna viwanda kabisa, matokeo yake vitu vyoteeeee tunanunuwa kutoka China, ni lazima wachina wafanye mambo makubwa wanauza bidhaa zao kuliko maelezo, na wanafanya kazi kufa mtu. Mfanyakazi anakimbia mbio akienda chooni akitoka chooni mbio anarudi kwenye desk lake, nimetembea duniani nchi nyingiiiii sanaaaa, lakini nimefurahishwa sanaa na China, wako juu, juu, juu sana tukubali tukatae wako juu hata USA wanaogopa speed yao siyo ya kawaida. Wako very serious haya mavitu fake ni umasikini wetu tunapenda sana vitu vya bure na cheap unategemea nini, hata mimi nilipokwenda nilibakia kununuwa hayo hayo macheap vitu.
ReplyDeleteUCHAGUZI UNAKUJA MSICHAGUWE MAFISADI KUWEENI WAANGALIFU CHAGUWA KIONGOZI MCHAPA KAZI
Daa ee bwana ee natamani ningefanya harusi kama hii,mimi nimeolewa na mzungu lakini huwezi kuamini harusi yangu kulikua na waalikwa wa 5 tu.wazungu wanaubnafsi sana,zawadi niliyo pata kwenye harusi yangi ni kadi ya kusema hongera.Yani wazungu hawana lolote ni njaa tu zinawasumbua pesa kwao ni kama mungu wao.
ReplyDeletemdau kutoka
Usa
duh! hii kali hata mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sijawahi kuona ni kufuru kwa kweli.
ReplyDelete