Home
Unlabelled
zahanati ya hekima matatani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Serikali nao vipi! Watanzania wanahitaji kwa hali ya juu huduma ya afya maana pana upungufu mkubwa. Hapa Wakala wa serikali (shirika la nyumba) wanafanya utekelezaji wa kujipatia kipato lakini kwa kuathiri jamii maana sasa waliokuwa hakuna atakayepata huduma tena katika kituo hicho cha afya. Kwa nini Serikali isitaifishe kituo hicho na kukifanya kiendelee na kutoa huduma yake pasipo kubughudhi wananchi? Mtu kama ameshindwa kumiliki kituo hicho wakati serikali inaweza basi ni vyema ikashikilia hata kwa muda wakati mmiliki mpya akitafutwa. Vinginevyo ni kuturudisha nyuma tu watanzania na umasikini wetu.
ReplyDeleteInaonekana miaka mingi hajalipa pango. Tuwe wepesi basi kufanya maamuzi kwenye biashara tunazozifanya.
ReplyDeleteMiaka yote hiyo, hivi ni kwa nini ung'ang'anie biashara ambayo haiwezi kukuingizia mapato ya kutosha kulipia gharama na kukuachia faida.
Do you need an MBA to do that?? No, just a common sense.
Kuna mkono wamtu hapo kaka, na wewe ndugu yangu hapo juu unasema serikari itaifishe? do you know serikali ya Tanzania inamajukumu mangapi?. Let me tell you this has nothing to do with the government. Itis time now sisi watanzania to start thinking outside the box.
ReplyDelete