Align Center wenye data msaada tutani tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. ALIYEKAA KATIKATI NA KAVAA NI OKELLO, HISTORIA INASEMA YEYE NDIE ALIYEONGOZA UASI AU MAPINDUZI YA KUILETA SERIKALI YA MAPINDUZI. YEYE NDIE ALIYEENDA KUTANGAZA REDIONI ZANZIBAR MAPINDUZI YALIPOTOKEA NA ALIKUWA AKIUPDATE KILA LINALOENDELEA SIKU 3 BAADA YA MAPINDUZI. NITAWAWEKEA LINK YAKE MUONE NA MSOME MAMBO ALIYOYAFANYA KTK WIKI HIO YA MAPINDUZI. ILA JAMAA ALIKUWA KAMA IDI AMINI. SUBIRINI NIWALETEE LINK YAKE. ILA BILA OKELLO MAPINDUZI HAYAKUKAMILIKA WAKATI HUO.

    ReplyDelete
  2. michuzi mie naogopa kukomenti

    ReplyDelete
  3. Huyo ni Okelo hasa na ingawa alikuwa mbele mbele sana, alikuwa doria tu kwa kulikuwa na wajanja ambao walikuwa waogopa sana kwamba mungereza ambaye alikuwa na marikebu ya kivita karibu huenda akaivamia nchi na kumnyonga mtu kuonyesha mafano,wakome kujaribu mapinduzi ya serikali
    I was a young doctor sent from Muhimbili to assess the islands needs, so I worked with Okelo and he was all the time making very frightening decisions. He never slept and that interfered with his thinking
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  4. Whatever they had been to - they surely their expressions don't look good. As someone commented above, naogopa...

    ReplyDelete
  5. Aliesimama wa tatu kutoka kushoto, ameshika bastola ni mzee Abdalah Natepe. Yu hai. Mzee huyu ana hekima sana. Wakati akiwa na nguvu enzi za Mwalimu mpaka miaka ya 1985 alikuwa Waziri aliesimamia shughuli za Usalama wa Taifa. Waliofanya naye kazi wanasema huyo mzee alikuwa kichwa sana. Mwaka jana mwanzoni nilikutana naye pale airport terminal 1 akienda Zanzibar. Yuko very cool.

    ReplyDelete
  6. kATI KATI OKELO kulia BAVUAI-Kushoto-Muhsin Ali-Waliosimama kutoka nyuma KUSHOTO ni Mapuri-JAFAR SULUHU-SHOMARI-KIBWANA na MRISHO HAMIS SONGORO.huyo shomari alikua mkakamavu sana soma link hii utapata picha zaidi.www.zanzibarhistory.org/picha

    ReplyDelete
  7. Kwa hiyo Abeid Karume hakuwa mwana mapinduzi, mbona hayupo hapo?

    ReplyDelete
  8. michu ; mtu mzima atishiwi nyau sasa kwa muonekano wangu wa fastafasta hao jamaaa ni walizi wa bwana mdogo hapo kati si unamcheki alivyo smati !!!!

    poor zenjizz

    ReplyDelete
  9. Nimemuona

    Saidi , Kijana wa Washoto

    Abdallah, Kijana wa Natepe

    Abdalla, Kijana wa Daruweshi,

    na Mwenye rasta ni Saidi kijana wa IDDI BAVUAI

    ReplyDelete
  10. wa mwanzo kushoto waliokaa ni Ramadhan Haji faki waziri kiongozi wa mwanzo wa zanzibat

    ReplyDelete
  11. This has reminded me a lot, for a long time I did not want to talk about it. I was there.Mdau wa 03.14, jibu la swali lako ni kwamba KARUME alikuwepo na alikuwa akienda huku na huku kukutana na jamaa wakali. Nilikwenda naye gerezani kikazi kwenye gari lake akiendesha yeye mwenywe, nakumbuka gari hilo lilikuwa ni vauxhall au standard na mlango upande wangu ulikuwa mbovu umefungwa na kamba
    Wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...