Home
Unlabelled
akili ni mali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana ankal kwa taswira hii.Naomba ufafanuzi kuhusu teknolojia hii ya kupunguza mwendo bila gharama kubwa na tafadhali sana hakikisha kuwa inawafikia wahusika kwa utekelezaji.
ReplyDeleteMie naona kama ndio itasababisha ajali zaidi. Manake jamaa katika kukwepa shimo basi ndo anavamia gari la upande mwingine!
ReplyDeleteHahaha hii ni danganya toto.Watu watapunguza kasi mara moja tu,baada ya hapo kasi itakuwa kama kawaida
ReplyDeletesio technilogia, barabara mbovu, ninyie wehu nini, au kila la mzungu jema hata kohozi kale!!!! alama za michoro barabarani si jambo gni hata barabara ya moshi arusha zipo kibao achani utumwa
ReplyDeleteHii ndo itakuwa kiboko ya madreva wa Mabasi makubwa, maana huwa wanatoka speed ile mbaya kama wamepakia machungwa tu, mi nahisi huwa wanapewa gemu za mashindano (Need for Speed)vile kwanza kabla hawajaondoka stendi, alafu ikifika kwenye hali halisi ndo wanafanya kweli kwa roho za watu, na tena serikali iyakuze hayo mapicha ili yawe mara hata kumi ya hapo!!
ReplyDeleteankal
ReplyDeleteHii kali lakini wabongo wakigundua kwamba ni yakubandika ? moto wake ni waukweli. Dawa ni kutafira njia mbadala ya ukweli
Inakuwaje pale wazushi wakishagundua huo ni uzushi wamewekewa...vumbi lake litakuwa si mchezoo..
ReplyDeleteWadau kusoma mmeshindwa basi hata picha hamuoni?
ReplyDeleteKinachoendelea hapo sio jitihada za kuwafanya madereva wapunguze mwendo.
Hiyo ni advertising campaign ambayo kwa kweli imekwenda shule.
Jamaa wanapromoti motor vehicle suspension products brand ya Pioneer ... na ndio maana mbele wameandika "It feels like Pioneer suspension"
Mpaka hapo nadhani nimewatafunia vya kutosha. Kama utashindwa kuelewa what is going on basi bado uko mbali sana, bora ukecheke na za Comedy show ya kina Masanja.
Aisee hii ni creativity ya hali ya juu, nimeipenda.
Acheni ushamba jamani, hilo ni tangazo la biashara, sio kwa ajili ya kudhibiti mwendo barabarani...Akili ni mali!
ReplyDeleteMdau 6
hahahaaaaa nimecheka maana nilijua kweli na ningepunguza mwendo tu apo
ReplyDeletekweli hii adabu
watapunguza mwendo siku ya mwanzo ya pili watafukia shimohewa kwa gia #5.
ReplyDeleteNa hayo si mashimo bali ni picha ilobandikwa kwenye barabara. Angalia picha ya mwisho jamaa akibandika picha ya shimo barabarani.
ReplyDelete