Bi harusi Jamillah (Nana) akijiandaa kwenda ukumbini
Bi harusi akiingia katika ukumbi wa Markham jijini Dar
Bw. harusi Hamisi Ally Omary (shoto) akiwasili ukumbini na wapambe wake
Bw. harusi akiomba dua
akimshumu mweza wake
baada ya ndoa na kupeana mikoni,l siku ya pili maharusi wakiingia kwenye mnuso wao ukumbi wa Karimjee hall jijini Dar
maharusi wakimeremeta kwenye mnuso
maharusi mara tu baada ya kufunga ndoa
maharusi na familia
ndugu
ndugu
ndugu
madada
zawadi toka kwa mzaa chema
na wazazi

















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. Kula mitimiti dawa kwa kwenda mbele

    ReplyDelete
  2. jamani dada kapendeza kama ua, i like the dress, angesmile kidogo tu jamani she is so beautiful

    ReplyDelete
  3. Hongera Bwana Harusi na Bibi Harusi.

    Nina swali moja dogo: Vazi la Bwana Harusi ni la mila za Wamanga (WaOmani). Je, alitokea huko au analipenda tu vazi la watu wa Kimanga?

    ReplyDelete
  4. hivi suruwali, na shati yaani suti ni mila ya nani? Kule urambo, Songea kote wanavaa vilemba navyo vya Oman vilevile? This is a free world unaweza kuvaa chochote unachopenda au sio acheni kaubaguzibaguzi. Bwana harusi kapendeza sana. That is dress is very expensive too. Mwenye enzi Mungu akubarikini bwana na bibi harusi.

    ReplyDelete
  5. Kama Anonymous said 3.3.01.09 pm alivyouliza na mimi pia na uliza Bwana Harusi waOman? hayo mavazi na hilo jambia???

    ReplyDelete
  6. Bibi harusi amependaza,ila sijui alikuwa anaogopa nini?Maana hajatabasamu hata kidogo!

    ReplyDelete
  7. hongera kwa kupata bi mzuri mpe mapenzi ya kweli ama laa utaporwa

    ReplyDelete
  8. matumbi wa east africa kavaa vazi la kiarabu na jambia juu.haibu tupu

    ReplyDelete
  9. kwa nini watanzania siku hizi tumekuwa na ugonjwa wa upungufu wa heshima kwa mila na desturi za watu fulani,naomba kukujibu uliyeuliza swali la kizushi,KWANI NAWE UKIVAA YALE MAGUO YAKO UNATOKEA ROMA AU UNAPENDA VAZI LA WAROMA

    ReplyDelete
  10. duh!!

    kazi ipo

    ReplyDelete
  11. Bi harusi anaonekana kama naogopa ogopa..angalia picha zote vizuri

    ReplyDelete
  12. Hongereni jamani! mmependeza!
    From JJ

    ReplyDelete
  13. Kapendeza sanaaa na joto la dar shela yake not advised ila she must wear diniii atiii

    ReplyDelete
  14. Bi harusi umependeza kupita maelezo ila umenuna kama vile umelazimishwa mume, au kama hutaki kumuona, unahangaika kukumbatia ua badala ya kumshika mkono mumeo. Uko so tense kama vile unaenda vitani jamani.

    ReplyDelete
  15. yaani mama Binti alikuwa center of attention, it seems this is her first wedding, maanke ameakikisha kila kitu kinakwenda sawa. well done mama

    ReplyDelete
  16. @ any 01:09pm,

    So does tie and shirt, and suruali and kaputula and shoes nakadhalik na nakadhalika, they are all either western, mixed, basically what's your point.

    Wajinga ndio waliwao !

    ReplyDelete
  17. Anonymous wa Wed Mar 03, 01:09:00 PM .... na siku ya mnuso alivaa suti, je alitokea huko au anapenda tu vazi la mila za wazungu....? Kuvaa kanzu ni Sunna kitu ambacho kwa imani yake anapata thawabu na asipovaa basi hafanyi dhambi... Ni maamuzi binafsi tu.

    ReplyDelete
  18. HE HE HE! HIVI HATA HAWA WENZETU WANAVAAGA MAGAUNI HAYA!! AU KIZURI HUIGWA?

    HONGERA UMEPENDEZA SANA ILA SIJUI KWA NINI HAUTABASAMU HATA KIDOGO.

    ReplyDelete
  19. mmoja katoka ki oman mwezi kizungu apo kazi hipo lakini mlipendeza kuliko bi fulani anajijua

    ReplyDelete
  20. Bi arusi ebu smile kidogo basiiiii umenuna moja kwa moja!!! Kwani ndoa hii ni ya kulazimishwa?

    ReplyDelete
  21. mungu awape maisha bora ktk ndoa yenu! ushauri wangu kwa wabunifu wa mavazi tunaomba mjaribu kubuni vazi la harusi la kitanzania,vinginevyo tutajikuta bado tuna ukoloni mambo leo

    ReplyDelete
  22. Bibi harusi mrembo kweli kweli. Hongera Bwana Harusi. Inaonekana wote ni wamanga.

    ReplyDelete
  23. kwa kweli mlipendeza sana maharusi, hongereni na mungu aajaalie maisha bora na yenye furaha

    ReplyDelete
  24. Kwako anony wa watatu, kwani mtumbatu akivaa suti kwenye harusi ina maana ana asili ya uzungu au amependezewa tu?

    ReplyDelete
  25. MTOA HOJA # 3, NI KWELI HILO NI VAZI LA KIMANGA NA HUENDA AKAWA HANA ASILI YA OMANI, KWANI UBAYA KUVAA???
    MBONA HUJAULIZA WATU WANAOVAA MASUTI NA TAI KANISANI KAMA WAO WANA ASILI YA UZUNGU???

    ReplyDelete
  26. hawa maharusi basi hata kucheka au wazazi walikuwako pale ndio maana. afu michuzi punguza resolusheni yako ya kamera manake bibi harusi poda imeonekana nyingi mno. tunajua una vyombo vya sasa ka michu.

    HONGERA MAHARUSI kuanzia sasa marafiki chagueni kuna watakaotaka kuwavunjia nyumba, kaeni vizuri msisikilize umbea wa watu.

    ReplyDelete
  27. To my Sweetheart Jamillah and your Man Ally...
    Wishing you Love, Luck & Happiness to last day....Tomorrow & ever after!
    HEARTY CONGRATULATIONS ON YOUR WEDDING!!!
    Shangazi Santia (jamila)..

    ReplyDelete
  28. KIJANA HAKUWA TAYARI NAONA HAJUI HATA KINACHO ENDELEA.

    ReplyDelete
  29. watu wivu na mtima nyongo viwauwe.angalieni kwenye 8020fasion blog muoeni kitchen part ya huyo binti ilivyokua.nyie mnaochokonoachokonoa kuhusu mavazi hivi mnajua hayo mavazi babu mnayoyaona babu kubwa ni ya kuiga tu wala si ya kiafrica halisi/wa kanisani wanaiga mitindo ya kizungu,wa msikitini wanaiga mitindo ya kiarabu,kwenye big day yako wewe ndo mwamuzi ukitaka kuvaa kichina au kihindi is up to you!!1mbona hatuwaoni manisani na misikitini mmevaavibwaya,khanga na khaniki kwenye maarusi yenu?roho mbaya tu mtu akipendeza mnatafuta sababu,dini zenyewe tuliletewa na wangeni(wakoloni)asili yetu ni kuabudu miti, maji n.k,alafu tunajitia kuelewa mambo,sasa kama bwana harusi kavaa kama mtu wa oman so what?si anaiga tu kama wengine wanavyovaa suti za kizungu kwenye joto la DAR!!acheni kiroho pupa wamependeza naMUNGU awajalie kwenye ndoa yao iwe ya amani na upendo.

    ReplyDelete
  30. Kila mtu na macho yake mimi naona maluelue tu: Bi harusi kavaa nguo ya harusi ya kikristo bwana harusi kavaa nguo ya kiislamu,naona kuna Ustaadhi lakini padre hayupo!!Mmmh shughuli....!

    ReplyDelete
  31. Hakuna utamaduni wa kizungu wala wa kikristo hapo. Hawawezi kutabasamu hata tone!!!!

    ReplyDelete
  32. michu michu michuzi
    shukran mkuu kwa kutuwekea burudani hii katika blog yako lakin nina swali naomba kuuliza.Hivi waisalamu tunaruhusiwa katika kidini kufanya hivyi hadharani meaning kichwa wazi etc.nijibuni wahishimiwa.

    ReplyDelete
  33. kuleeeee kwetu tunasema jongooooooo kaingia mchuzini kweli harusi nzuri musione mtu rangi mukasema kavya nguo ya kimaanga hamujui kuwa waarabu pia wapo rangi hizi ila bwana harusi alitakiwa kilemba chake kifungwe vizuri cheupe na johoo la cream basi hapo naona wadau wote roho zingewauma.pole yenu mlonuna?toronto

    ReplyDelete
  34. Islamic hakuna kitu kama hicho, huu ni utundu wao wa mambo ya fedha. Ni mabadiliko ya kidunia ... ustadh aendelee.

    ReplyDelete
  35. Sio kichwa wazi tu, hata hapo kifuani kwenye mstari panaonekana, na ndo haswa pakufichwa zaidi..alitakiwa kuvaa mguo za wazi kwenye k.party, na ile nguo ya k.party alitakiwa kuvaa huku waliko wanaume sasa ili wasitoe mate atiiii...me sijafurahia tu!! hiyo nguo nina uhakika baada ya hapo kaenda kufanyiwa massage mana ni nzito mnooo!!

    ReplyDelete
  36. kwanza Maharusi Hongereni,
    Pili
    Hili la kununa kwani hamjui kilichomnunisha BI HARUSI na kwanza hajanuna ila mawazo jeeeee?? itakuwaje usiku mana mke bikra mume ndio hivyo nae kapania utaacha kuwa na mawazo halooooooo!!!!!!!!! maneno hayo ya mtu ys mzima
    HAYA HABARI NDIO HIYO JIBU NIMEWAPA

    ReplyDelete
  37. Sasa kwani alilazimishwa kuolewa huyo dada???!!! mbona haoneshi hata uso wa furaha.. Hata zawadi nayo hajafurahia??!! mh!!
    Amependeza sana!!
    Rabia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...