
kesho ankal anaendelea na ziara hiyo sehemu za oxford
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, tunaona uko busy unakagua shughuli za wabeba maboksi huko! Waambie jamaa wagangamale na vibarua sio kutega na kutwa wanashinda wanapiga picha na wewe wakitarajia kupambwa kwenye blogu ya jamii!
ReplyDeleteZiara njema Mkuu!
ReplyDeleteuncle pata utembelee feltham, utafurahi sana. utakaribishwa vyema na kahawa utapewa. tunakusubiri kwa hamu!!!!!!
ReplyDeleteAnkal fulanaz kwishneh nini?karibu coventry pia
ReplyDeletemichu!!!
ReplyDeleteulipokuwa unaondoka bongo uliushukuru ubalozi kwa kukuleta kwenye diaspora-2.
Mbona picha zako zinaonyesha zaidi maslahi binafsi? huu uuzaji wa bulldozer "sindilia lami" kweli ni sehemu ya diaspora -2 au?
Hii naona ni marketing strategy, anyway hongereni sana wadau kwa ujasiriamali, maana siku hizi mambo ya kuchanja hamna tena.
Kila mtu anakula jasho lake halali, ujanja ujanja hakuna tena.
Karibu sana East Midlands, ROBIN HOOD COUNTY.
REBECCA
Hahahahaha wote wanao ponda wenzao wanaroho za kwanini so mtu akifungua duka mnasema akibeba box mnasema sasa mnataka nini au kwa vile nyie hamna na ukiwa na choyo na wenzenu na nyinyi hamtapata maisha kwa roho zenu mbaya mungu akuzidishie maneno yao yasikushitue hizo ni roho za kwanini zinazowasumbua keep it up man,wache wasemeeeeeeeeeeeeeeeeee wakichoka watalala habari ndo hiyo
ReplyDeletekweli kiswahili kimekuwa, mimi niliposoma neno ukerewe-mojakwamoja nilipatwa na shauku kubwa na kuitazama picha mara mbilimbili, nikijisemea oooh, TZ, yetu mwanza kumekucha,kumbe siyo ukerewe ya ukerewe?swahili tabu, hebu muwe naweka fafanuzi ya neno, wengine swahili iko matata
ReplyDelete