Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. baada ya miaka 5, dola 1 itakuwa tsh 2500/=

    ReplyDelete
  2. Hiyo miaka 5 mbona mbali. Sasa hivi shilingi yetu inaelekea kulingana na ile ya Uganda. Can you guess what will be rate close to October?

    ReplyDelete
  3. Hela ya madafu maana yake nini? Hii si dharau?

    ReplyDelete
  4. Mdau uliyesema hela ya madafu ni dharau, mimi nafikiri siyo kweli. Hela ya madafu ni lugha ya picha au ufananishi. Unajua madafu yanatobolewa na tunanunua yale maji yake kwa bei rahisi sana. Hela ya madafu maana yake ni urahisi wake, kutokuwa na thamani kubwa nk. Dola na paundi kwa mfano, si hela za madafu, maana ukitoa doka chenji watakayokuridishia ni kubwa sana,,,,,

    Nimekosea uncle Michuzi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...