Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa kampuni ya simu za mikononi ya Zantel Bw. Brian Karokola (kushoto) na Meneja wa Masoko wa kampuni hiyo Bw. William Mpinga wakionesha simu zitazotumika kutolea huduma mpya ya simu za mkononi na mezani kwa gharama nafuu iitwayo “Ofa ya simu za Gumzo”, kwa lengo la kupunguza gharama za kupiga simu kwa wafanyabiashara wadogowadogo na matumizi ya nyumbani. Bei ha simu ya mezani ni shilingi elfu 50 wakati simu ya mkononi ni elfu 20. katika ofa hiyo ukiweka vocha ya shilingi 1000/- unaongea kutwa nzima, ukiweka shilingi 6,000/- ni wiki nzima wakati mwezi mzima ni 20,000/-

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Kwa ufupi MMEUA.....MUMEMALIZA UBISHI.......Hakuna cha mfanyabiashara ndogondogo wala kubwa kubwa.....Tuelezeni upatikanaji wake kabla stock haijaisha......na ufungaji wa hiyo ya mezani ndo ukoje......TUNAOMBA MAELEZO ZAIDI

    ReplyDelete
  2. Duuuu Brian..long time man! umenikumbusha Old moshi.

    ReplyDelete
  3. Sijui vizuri lakini seems is a good offer,kama wanachongea ni kweli na mitambo yao ina quality nzuri ya watu kuongea sehemu kubwa na sauti nzuri ...naona makampuni mengine yakipoteza wateja kwa hawa jamaa haraka sana na wao itabidi waje na hii plan au bora zaidi,mambo ya biashara hayasafi sana Zantel kama mnachoongea ni kweli,isije ikawa kuna catch hapo.

    ReplyDelete
  4. Duuu!! Mpinga, long time..... tangu Siha Sec. Looking good man. Congrats on what you're doing.

    ReplyDelete
  5. VOIP phone sio, ila bado ni gharama kubwa kidogo..
    itashuka tu ngoja fiber isambae tz nzima

    ReplyDelete
  6. mie alinifurahisha ni huyo alieweka simu yake inase sauti kisha ikaanza kuvaibleti, sijui inaaleji na mikrofoni!Ila wadau simu za siku hizi zina ofu laini modi, ingekuwa bora huyo mdau angefanza hivyo kuliko kujiembaras

    ReplyDelete
  7. Haroo pale hamna kitu. Hawa wenzetu wa ziwa magahribi wakishaingilia soko fulani ujue hiyo bidhaa feki. Huyu mushaija alikuwa akieleza yasiyoeleweka kwenye luninga ikabidi asaidiwe. Si mnakumbuka mradi wa OKO? na ile dawa ya meno sikumbuki ilikuwa initwaje! bwana hawa watu walijaaliwa. Lakini big up watani. mlinyimwa urais na Baba wa TAIFA jikiteni sokoni.

    ReplyDelete
  8. mtueleze vizuri...gharama hiyo ni zantel kwa zantel au la? na kama ukitumia toka zantel kwenda mtandao mwingine ni gharama tofauti basi iwekwe wazi....
    otherwise,nice product

    ReplyDelete
  9. Mpinga marketing Manager?kaburu aliondoka nini?Safi sana,vijana wadogo wamekula suti kali na zimewakubali...hongereni zantel kwa ofa nzuri!

    ReplyDelete
  10. choo cha kike......

    ReplyDelete
  11. Hapo juu mtoa maoni ameiponda hiyo offer kwa kuwa mushaija yupo. Hawa washaija huwa wana akili kweli kweli. wakiamua kufanya kitu cha ukweli wanafanya, wakiamua kuwa matapeli,wanakuwa matapeli wa ukweli. Sasa tusubiri hii ofa tuone.

    ReplyDelete
  12. wivu unakusumbua wewe! &*8**%%$$##@!!!"??><....^

    ReplyDelete
  13. Hi kalokola kwa mara ya tena.kula vichwa mzee.CONGRAT.BM(UK).Fanya jitihada tuwasiliane sina contact tangu utoke huku.Naamini no yangu bado unayo.

    ReplyDelete
  14. asante zantel kwa ofa nzuri. mimi natumia hiro risimu renu ra mezani kwa maongezi na kwa internet. aisee munanisaidia sana kwa hii ofa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...