CRDB bank Managing Director Dr. Charles Kimei speaks during the farewell party held in Dar over the weekend in honour of the outgoing Deputy Managing Director Jens Pedersen who has just completed his 7-year tour of duty in Tanzania
CRDB Bank's outgoing Deputy Managing Director Jens Pedersen speaks during the party
Some of the CRBD bank employees mingle during the farewell party
Outgoing deputy managing director Jeans Pedersen (R) and his wifeBente, receive a gift from CRDB bank Arusha branch Director Ms.Chiku Issa during the farewell party


Hizo picha mbili zinazotoa zawadi ni picha hiyo hiyo moja, lakini tunaambiwa moja ni Pendo na moja ni Chiku, ipi ni ipi?
ReplyDeletehuwa nasikitika sana kila ninapogundua kuwa ajira nyeti nchini zinashikiliwa na weupe.I disagree kuamini kuwa hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuwa MD wa CRDB.
ReplyDeletenimekua ughaibuni kwa miaka sita sasa,si rahisi sana ulaya mgeni tena mweusi kushika nafasi kama hizi ambazo sisi tunawapa hawa wageni.
I stand to be corrected.
THE SON OF AFRICA A.K.A KIJANA WA KIJIJINI.
kwa bongo ya sasa hivi ilivyo waache tu hawa weupe washike hizi nafasi nyeti,kwa kweli nawakubali wanafanya kazi nzuri sana ndio wanaipelekea crdb wanatengeneza faida kibao,tatizo sisi wabongo tukipewa nafasi kubwa kama hizo tunafikiria kuiba tu.
ReplyDeleteKweli anony wa kwanza, huyo mwanamke lazima awe jini. tu yule yule majina tofauti lakini kali ya yote anafanya kazi Morogoro na Arusha!
ReplyDeleteni bora kabisa washikilie hao weupe at least maendeleo yanaonekana hamuoni crdb walivyo juu?? chekini hata ofisi zao zilivyo bomba wazawa asilimia kubwa wavivuuu na wanawaza jinsi ya kuifilisi kampuni mie naona hata tra awekwe muisrael bandarini waingereza eapot wamarekani
ReplyDeleteannon 04:11am
ReplyDeleteumenigusa moyo wangu,
ila tupo wabongo wenye mioyo isiyo ya kifisadi na uchapakazi uliotukuka,sema ndo ukutane na vikongwe vya ofisi,,,utajuta!!