BM Executive Barber Shop and Beauty Centre based at Kinondoni area in Dar es salaam is believed to be Africa's largest salon with all ameneties under one roof
Home
Unlabelled
did you know that africa's largest salon is in dar?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
safi sana,ubunifu wa ghali ya juu,nawashauri mngefungua kama hiyo jijini arusha,maana kule wageni ni wengi mno,kuanzia mahakama za UN,east africa comity,sadc head quarte kwa tz,mahakama ya africa na utalii,pia kuna hotel nyingi mno za nyota 5,i think mkifungua mtapata wateja wengi tu,nakumbuka nilikuwa na rafiki yangu pale mahakama ya UN,alishangaa mo kukosa duka la vifaa vya mazoezi arusha nzima.
ReplyDeletesalon nzuri but not organized at all.namaanisha,jinis vitengo walivyoweka kuanzia VIP to kids....mmh.but anyways ni nzuri.
ReplyDeletemkuu ni nzuriii ilaaa gharamaa kubwaa sanaa mmiliki wa hiyo saloon ameingia tatizo ni gharama za kuiendeshaa zitakuwa kubwa sana sizani kama atakuwaa anapata VALUE FOR MONEY IN RETURN ,ilo naamini anajua yeyee tu ila amejitaidi
ReplyDeleteNzuri bwana achani mtima nyongo!!!kwanza huko USA sijui wapi, barbershop nyingi za kawaida sana, yaani zimechoka, ukikuta barber shop kama hii, ujue mbeba box hakanyagi, wengi maishia kwa vinyozi tu
ReplyDeletejamani kila mtu na kazi yake. sasa dakika zaidi ya tisa lakini kwa viyoyozi, luninga na mashine za kufulia badala ya mtu aliyenyolewa au kupata huduma safi.
ReplyDeletebm mmeendelea si mchezo mmefungua kitu bab kubwa yani hongera sana kaka ubarikiwe si mchezo.ila gharama zake hapo zitakuwa si mchezo loh,ni kweli mdau hapo juu umeongea kweli huku ulaya saloon kama hizo si nyingi kwa kweli tumpe sifa mwenye saloon kajitahidi sana zaidi ya sana.hahahaha jamani wanyoaji wake ndo walewale alianza longtime huyu bwana mpaka kafungua kitu si mchezo.
ReplyDeleteFacts Without Proofs ndio hizi..!!
ReplyDelete