Rais wa Chama cha upinzani nchini Uganda cha Forum for Democratic Change (FDC), Kanali Mstaafu Dk. Kizza Besigye, akizungumza na vyombo vya habari, mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa wakuu wa vyama vya kidemokrasia vya Afrika, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro Kempiski jijini Dar leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. wow freeman hazeeke

    ReplyDelete
  2. ha ha ha ha ha ha!!!

    Q1. What is democracy?

    Q2. From the list below who is not a dictator?

    Q3. Is it true if u mix together the brain of the named below u'll get MASS POVERTY, EPIDEMIC & PANDEMIC DESEASES, SIVIL WAR, HUNGER, UNREST, DEMONSTRATIONS, ... and finally DEATH?

    Jose E. DOS SANTOS - Angola
    Paul Biya - Cameroon
    Francois BOZIZE - Central Africa Republic
    Idriss DEBY - Chad
    Hosni Mubarak - Egypt
    Meles Zenawi - Ethiopia
    Yahya A.J.J. JAMMEH - Gambia
    Col. Mu'ammar al-Qadhafi - Libya
    Field Marshal Umar Hassan al-Bashir - Sudan
    Lt. Gen. Yoweri Kaguta MUSEVENI - Uganda
    Robert Gabriel MUGABE - Zimbabwe

    by DICTATOR

    ReplyDelete
  3. Doctor Kiiza wa FDC

    Doctor Mbowe wa CHADEMA

    samahani nimekosea

    Komredi Mbowe wa CHADEMA

    ReplyDelete
  4. ha ha ha ha ha ha!!!

    anony wa Tarehe Tue Mar 16, 08:19:00 AM,! u had forgoten these predetors will never survive if the blood is stop shelling in africa.

    Jose E. DOS SANTOS - Angola
    Paul Biya - Cameroon
    Francois BOZIZE - Central Africa Republic
    Idriss DEBY - Chad
    Hosni Mubarak - Egypt
    Meles Zenawi - Ethiopia
    Yahya A.J.J. JAMMEH - Gambia
    Col. Mu'ammar al-Qadhafi - Libya
    Field Marshal Umar Hassan al-Bashir - Sudan
    Lt. Gen. Yoweri Kaguta MUSEVENI - Uganda
    Robert Gabriel MUGABE - Zimbabwe

    ReplyDelete
  5. labda tukichapana kidogo wa TZ tutajua nini maana ya amani..mimi najua kwa undani kabisa niulize kanini....

    ReplyDelete
  6. mmemsahau na kagame,na yeye ni dikteta vilevile,kila siku anaongeza siku,kuna mdau huku alikuwa anamsifia sana,lakini jana nimeona interview yake ccn,hamna kitu,english mbovu,anajibu utumbo mtupu,hana tofauti na museveni kwa kuwa wamemaliza vita nchini mwao wanaona hakuna kiongozi mwengine atakayeiweza nchi.tz itabaki mfano wa kuigwa kwa africa katika kuachiana madaraka.

    ReplyDelete
  7. Tanzania ni mfano wa kuigwa.Africa kusini ilijaribu kuonesha mfano dhahiri japo kuwa haina matumaini ya amani.Wa tz si tu kwamba ni waoga wa vita ila ni wenye kumcha mungu au allah, hii ndo chanzo cha amani tz.

    ReplyDelete
  8. Is he related to Pinda the PM?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...