Hasheem Swings in a dunk
Thabeet lives up to
expectations in Wizards' defeat of Ants

Hasheem Thabeet looked like a lottery pick again, which is what the Memphis Grizzlies had in mind when they sent him down to the D-League.He had a certain presence – on the court and in the minds of opposing shooters.


“I don’t care what you say, you’re going to think about him,” Mad Ants swingman Ron Howard said. “You’re always conscious of where he is and things like that. Thabeet was everywhere on the Memorial Coliseum court Sunday.


In the Dakota Wizards’ 94-85 win over the Mad Ants, the 7-foot-3, 265-pound rookie scored 19 points with 16 rebounds and six blocked shots.


Thabeet, the No. 2 pick in last year’s NBA Draft out of the University of Connecticut, is the highest-drafted player ever sent to the D-League. The Grizzlies want to see some development in his understanding of the pro game.


Mad Ants coach Joey Meyer would probably rather not see him when Thabeet has a better feel for the game.“He was a monster tonight,” Meyer said. “I thought he was the difference in the game.


“You never like to say one player made the difference. He had 19, 16 and six blocks, and you don’t add up the ones he altered. That was another six at least. In a sense he almost had a triple double.“He was certainly a major factor. We try to go to the basket, and he blocked everything or changed everything.

”The loss dropped the Mad Ants to 13-21. Dakota is 20-16.The job of defending Thabeet fell primarily to Mad Ants centers Jared Reiner and Sean Sonderleiter. They had varying degrees of success dealing with him.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. I likeee... Go toto nzuri eenhee!!

    ReplyDelete
  2. Tatizo la hashim ni kwamba badala ya yeye kufanya kazi iliyompeleka anakaa kubishana na ma"haters" na kujionyesha na pesa anazopata na nini. statement yake ya bongo celebrity sikuifurahia kabisa manake mwenzetu ni wazi anaonyesha ameenda pale sio kwa mapenzi bali ni pesa (kiti ambacho kinatakiwa kuwa ni siri yako na mungu)

    ReplyDelete
  3. Pole hashim kuteleza si kuanguka fanya hili liwe fundisho kubwa wewe bado ni mdogo kuna mengi hujayaona bado, maisha ni kupanda na kushuka, tafuta tu vitu vingine vya pembeni manake ukishuka usishtuke sana liwe ni jambo ambalo ushajitayarisha nalo.

    ReplyDelete
  4. Inabidi utafute kocha wa kukufundisha mbinu zote ndugu yangu la sivyo siku nyingine ni "itatoka hiyo"

    ReplyDelete
  5. Kwani tokea apate hiyo NBA kuna chochote alichofanya nyumbani? au anakaa tu na pesa zake? manake watoto yatima kibao, ulishapeleka chochote hashim? au tu unakaa na "PAYCHEQUE" yako ni yako mwenyewe?

    ReplyDelete
  6. saa zingine kukubali kuanguka inasaidia ndugu yangu halafu unapambana na tatizo lililokuangusha, the rest will fall into place.

    ReplyDelete
  7. Hashim pole kwa matatizo ndio ukubwa huo, kuchekwa ni kawaida ila usiangalie watu wanachosema just let them be your motivators.

    ReplyDelete
  8. Rose BakerMarch 01, 2010

    Huku ulaya unatakiwa marafiki uchague, uangalie yako zaidi navyosikia huyu bwamdogo kutwa yuko kwenye mapati ya wabongo (ambayo mfano asingeenda mngemsema kwanini haji, anajiona) lakini inatakiwa unafanya kidogo tu na kushika yaliyo yako. Badilisha namba yako ya simu, weka unlisted, wasikuone, kama unakaa kwenye "gated community" usimruhusu mtu yoyote kuja, wakija bila ya kusema (kama kawaida yetu wabongo) kaa kimya usifungue mlango. Hashim mie naishi marekani ndio vitu nimefanya, waswahili watakuchekea tu ila ukiondoka tu wanakuzungumzia, nilivyowafanyia hivyo na kukaa nao mbali niko peaceful na familia yangu. Ni wote tunatoka sehemu moja ila kila kitu kina boundary. Kaa salama.

    ReplyDelete
  9. I hope Hasheem atachukuwa hizi comments serious.
    Labda ana contract kama 3 yrs. He will make $15M the most. Ni hela nyingi lakini zinaweza kuisha within 6 yrs kama hajiangalii. D-League atapiga sesson yote. Itabidi wamu evaluate tena ata kuwa ana kama wiki yakupumzika summer camp inaanza. Kila sumenter new drafts asipo jitahidi NBA ndio hadithi. Kila kitu kipo mikononi mwake. Ku-make it or ku-loose.

    Kila lakheri... focus, focus and focus...

    ReplyDelete
  10. Safi US Blogger.

    ReplyDelete
  11. watu wengine watafurahia kuona mtu yamemfika lakini amini kitu kimoja hashim kila mtu anapitia makasheshe ya aina yake kwenye maisha huta kuwa wa kwanza wala wa mwisho. Good luck bro wewe bado ni mdogo sana unaweza bado kufanya mengi, rudi shule malizia digree zako kadhaa uwe na kitu cha pembeni mpira usipofanikiwa una ka elimu kako. (ushauri wa bure)

    ReplyDelete
  12. I didn't like Thabeet's comments on bongo celebrity "same check" "haters" haters my feet.Hasheem Thabit I think you don't get it, for 2nd pick to go D-league is a SKENDO IT IS WORSE SKENDO THAN TIGER WOOD'S. Don't be excited going to D-league!STEP UP YOU GAME SON AND STOP TALKING BACK TO YOUR FANCY.YOU HAVE TO UNDERSTAND GOING D-LEAGUE IS NOT ACHIEVEMENT IT IS SKENDO.For a smart person wouldn't say anything back to fancy he would work hard to prove coach and fancy wrong.Next time when get into SKENDO try to say nothing for a while...good example Tiger woods said nothing for about three month..DON'T BE EXCITED. GROW UP.



    Intellectual heavy weight,DC.

    ReplyDelete
  13. me i know this kid tangu anatembea peku kama chokola. kwa mtu alipo toka yeye nilitegemea sana angekuwa na asira ya maisha hila opposite.by the way na shangaa sana mnavyo mbabaikia huyu kijana kwani tangu haingine uko marekani ameshafanya nini kwa jamii hata ulipo rudi tz ungetengeneza hata kiwanja cha basketball shuleni kwako makongo ulipo soma hili watoto wengine nao wapate nafasi ambayo wewe ukuipata. hila tangu umeenda uko na kujifunza english umerudi nawewe utataka kujifanya ja rule.kweli is hard to be a black man.

    ReplyDelete
  14. Hivi nyie mnaotaka hashim awafanyie kitu tanzania nyie mmeifanyia nini Tanzania??? Acha mawivu yenu yasiyokuwa na wivu upuuzi mtupu. Tunafanya vitu kama vile nyie mko sahihi nakubaliana na rose wabongo bwana kujuana nao tabu tupu mie ndio maana tunakutana tu katika matamasha tena nikitaka kwenda maana mengine nayatolea nje.

    Kazi yetu umbea, unafiki na ujuaji ni upuuzi mwacheni kijana wa watu afanye kilichompeleka na tumuombee afanikiwe zaidi. lakini kukaa mkabwatabwata anawasaidia nini jamii ni upuuzi na ujinga mtupu

    ReplyDelete
  15. watu wengine wanaopost vitu heri waandike tu kwa lugha ya taifa, kiswahili manake inakuwa tabu kuelewa mtu anataka kusema nini.

    Nakubaliana na mdau dada rose, Hashim shika yaliyo yako waswahili ulaya hawana mpango, sasa hivi wewe ndio gumzo ukirudi tena uwanjani utakuwa bado gumzo kwahivyo heri uwatoe kabisa kwenye maisha yako fanya familia yako ndio iwe marafiki zako, sababu ndio watakaobaki saa wote marafiki wameishia, wakunga walishasema "rafiki mkia wa fisi ukiushiriki utakufilisi" kazi kwako.

    ReplyDelete
  16. Johnson FrancisMarch 02, 2010

    Tunafanya nini sasa, Tulifurahia sana Hashimu alivokua picked kwa draft ya NBA, hata nyie mnaoponda hapo juu...sasa hivi yamemkuta mnayatoa hayo yenu...jamani mbona hamkuyaongea mwanzo? nilitegemea post nyingi ziwe za kumshauli Hasheem nini afanye ili aendelee kupeperusha bendera yetu huko ughaibuni..badala yake mnaleta majungu.He is like Tanzania and we cant let our country fall..why you traitors...haters..betrayors??? TO HASHEEM..brother this is all yours, go hard beat it..umeteleza tu hujaanguka..ni kawaida sana..hizo no challenge umepata sasa yabidi ufanye juhudi zaid iam sure you dont want to let those $$$'s go so work up and work very hard, im still impressed with you, you are the stars, be careful..chuja marafiki na tumia muda mwingi kufanya kitu inayokupa masrahi kuliko ku-hang kwa maparty ya wabongo yasiyoisha.

    ReplyDelete
  17. Ni sawa kuwalaumu "haters" kwa yale wanayoyasema. Lakini usemi wa kijana kuhusu pesa, hauongezi ushabiki, nafikiri. Isitoshe, upenzi na chuki viko karibu sana. Upenzi ukikolea sana halafu usitimiziwe yanayostahili au ukasalitiwa hugeuka kuwa chuki mbaya kabisa. Hebu fikiria, wote tulimwangalia kama mteule wa kulibeba jina la nchi yetu. Sasa inakuwaje tena?
    Cha busara kwa kijana ni kufunga mdomo na kushinda gym. Watu wanasema mambo ambayo wameyaona. Kuna mifano mingi ya watu waliopotea moja kwa moja. We don't want this to befall our compatriot. With humility, hard work and determination he should be able to quench the thirst of many Tanzanian basketball lovers.

    ReplyDelete
  18. Mwaka wangu wa kwanza ulaya nilikuwa siwajui wabongo, nikawa free najua sehemu mwenyewe, baada ya miaka 2, huku ulaya kuna "Afrofest" basi ndio nilipochoka mwenyewe, wabongo kibao nikakutana nao, nilifurahi sana kwamba na mie nimepata wenzangu, lakini baada ya muda wakaanza mambo yao, mara huyu adhani umemchukulia bwanake, mara utake kupigwa, mara nini ilimradi tu. Basi nikaamua kuachana nao sababu sitaki rekodi mbaya kwenye serikali za wenzetu (hata bongo sina rekodi na polisi, maisha yangu yote) nikashika yaliyoyangu, nikarudi university, nikamaliza nafanya kazi yangu, na nimenunua nyumba niko na familia yangu kimya, wabongo kwangu siwakaribishi kabisaaaaa, nawajua kwa majungu ndio wenyewe.
    HASHIM WATOE NJE WOTE, kumbuka akuuae siku zote ni yule anaekujua.

    ReplyDelete
  19. Robihno mwenyewe karudi Sao polo kutoka premia ligi ijekuwa Haseem bwana. Kuliko akalie benci kila siku bora huko D ligi aongeze ujuzi ili mradi asibweteke atakuwa powa tu.

    ReplyDelete
  20. Our prayers are with you hashim. Don't worry about your detractors beacause, as someone said "Envious people will always be losers and miserable". God bless you Hashim and all the best.

    ReplyDelete
  21. It nice to see the guy step up his game in the d-league. He is fighting back and thats what winners are made of. Wanaouliza Hashim kafanya nini bongo are unrealistic and shallow minded. He just started getting paid alafu tayari mnakinga mikono.

    Hope he ignore such rediculousness and focuses on the prize

    ReplyDelete
  22. dogo inabidi utafute publist awe anakutolea statement kitaalamu sio kuropoka tu kama unavyobishana na haters wako kama uko tandale au mwananyamala kwenu,kuhukiwa tu kanaweza kukakufanya usifike mbali especial uarogant,we hujiulizi kwa nini hata vijimatangazo hupati na urefu wote huo.ungekuwa na akili hata basi chungulia kwenye google kuibrash public image yako.

    ReplyDelete
  23. Hashheeem..!!
    Achana na mapimbi, kila mtu ashike lake na apambane na maisha yake. ushauri unatakiwa lakini unapimwa vilevile, mtu hakulishi hakuvishi anakusemea yeye ni nani hasa katika maisha yakooo.. Wabongo ni wa puuuuzzziiii sana..
    Keep it UP brother.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...