
Felician Mutta hivi sasa anaendesha libeneke la usambazaji wa kazi ya muziki na filamu kupitia kampuni ya FMWASAMBAZAJI yenye kupatikana
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hv ni macho yangu au nakosea, hii si hammer kweli? Duh naona FM kazi ya si ya kitoto! Ngoja nisubiri waosha vinywa...thnx
ReplyDeletekweli wafanyabiashara wa kitanzania tabu kweli kweli mtu anaendesha hammer anafanya biashara ya usambazaji anatumia email ya yahoo, hana hata website mmhhh.... kazi ipo
ReplyDeletehe!kila kitu kinawezekana,ukisikia mtu mzima maana yake ni vitendo,sio kulalamikia maisha tuuu kila siku,big up mtu mzima.
ReplyDeletesasa wewe unashangaa nini,mbona hammer bongo ni kitu cha kawaida
ReplyDeleteNI HIVI HUYU PAPAA MUTTA ALIKANUNUA KAHAMMER KADOGO AKAKAPA DOZI YA KICHINA ILE YA MAHIPSI NDO KAMETOKEA HIVI.
ReplyDeleteHammer la kichina!
ReplyDelete...........Benitez oyeee
ReplyDeleteDuuh KWELI BONGO KILIMO KWANZA,WAMAREKANI WAMESHINDWA GHARAMA ZA UWENDESHAJI WA HAMMER BONGO WATU WANAPETA KWA KUHUZA BONGO FLAVA
ReplyDeletewewe nawe wa wapi?nini cha ajabu hapo?ndio mara yako ya kwanza kuona hummer(sio hammer)??uko wapi kijijini ndanindani au?acha ushamba tembea uone.eti usubiri waosha vinywa ili iweje??wenzio washazizoea hizo hapo tz,by the way hio model ya zamani kuna latest zaidi ya hio hapohapo bongo
ReplyDeleteHammer sio kitu cha kawaida hapo Bongo mbona likipita watu wanalikodolea kama wameona nn vile, wakati hizo Corlla zikipita watu wanaendelea na shughuli zao, acha hizo ww shahidi wa maisha !!
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteMimi sina wasiwasi wala kinyongo na wanaoendesha Hizo sijua "hama"wala nini. Mimi ninakubali kuwa biashara ni sehemu kubwa ya ujenzi wa taifa. Sasa ninapenda kushaurio hawa wafanyabiasghara wetu wawekeze pia katika sekta ya mitandao/Internet katika biashara zao. Mimi Kaka michuzi sioni kama biashara za Tanzania ziko serious katika kutanganza biashara zao kwa internet. Mfano sasa hivi tuna hii kitu mnaaita Kilimo Kwanza...sijaona internet hata moja ya Kampuni inayosambaza viofaa vya kilimo..majenmbe, nk.nk Sasa utasemaje Kilimo kwanza wakati taarifa zake hazipatikani. Mimi nazipa sekta za fedha mfano Bima na Mabenki BIG UP maana wanaongoza kuwa hewani...wengine naomba waige
Michuzi,
ReplyDeleteMbona hiyo picha inaonekana kama kaka Muta alishawasili kwa huo mkutano akapata kitambulisho chake kisha akaenda kwenye hammer lake kufotoa...kama alipewa kitambulisho kabla ya kufika Kunduchi sawa kama sivyo hiyo maelezo ha hiyo picha yana ka-ufix fulani..
Ni ufuatiliaji wa kizushi tuu....
Duh, hay ni matokeo ya 'dozi ya kimatumbi' kuzidi. Eti HAMA, jamanie mbavuu zanguuuuu! Eeeee nipe mbavu zangueeee! Yaan mtu anaangalia na majicho yote mambili alafu anaandika 'HAMMER'! Ni HUMMER jamaniiii!
ReplyDeletehao wanaoshangaa labda washamba wenzio na watoto wanaoshangaa how big and ugly it is!!!
ReplyDeleteWIZI MTUPU!! KWA MAISHA YA MSTARI HAMMER INAWEZEKANA. SWALI NI? KUNA MAISHA YA MSTARI MINAZI?
ReplyDeleteAnon. wa Tarehe Sun Mar 21, 07:57:00 PM, na wewe unalo nini?Je likipita pembeni yako (kama huna), utafunga macho? Maana unaongea kama unalo vile? nyie ndo wale wale. Kumbuka; "Ushamba si mzigo kila mtu anao"
ReplyDeleteKwa Bongo
ReplyDeleteIshu ya magari ya kifahari au nyumba siyo dili kabisa..Humer siyo ishu zipo kibao..na watu hawazifagilii kabisa...kama ilivyo kwa Lamboghini,Vogue etc...nyie wabeba box ndio mnashangaa mtu kumiliki hayo madude..sisi huku tunanunua kwa Cash bila matatizo yeyote..wala hatuhitaji ma internet/website yenu..tunapiga kavukavu kiutu uzima na mambo yanakwenda fresh...
Mazee
hahahaaaa ebu nicheke mimi!!
ReplyDeleteaya
......Hilo linaitwa "HAMMA" nyie wooooooooote mmekosea rudini shule kwanza.
ReplyDeleteNinyi wote mnao toa maoni ya watu kutumia internet, je mnajua biashara ya huyu na jamaa inavyofanyika? Je nmajua mazingira ya Tanzania ya leo?
ReplyDeleteHuyu jamaa biashara yake ni kusambaza miziki na maigizo. Hivyo watu wake wa karibu ni wamachinga ambao ndio wanapeleka hizi kazi za wanasanii kwa wateja, sasa wamachinga na internet kuna uhusiono gani?
Pili hata kama kuna watu wengine anafanya nao kazi, watu wangapi Tanzania wanatumia computer? Je issue ya umeme kukatika hovyo itamwezesha mtu kutegemea internet kufanya biashara Tanzania?.
Mtu kama anaona biashara yake ipo safi hana haja na internet.
Internet ni kwa watu wa Ulaya na Marekani, bongo bado sana.
hajui ku-park gari,angalia tairi la mbele kushoto limepinda. Lesseni Class Z.
ReplyDeletemdau,
Kionambali.
Ankal naona wadau tunaondoka kwenye mada husika.Fikra zangu hapa zinaniacha na swali kuwa ni nani anafadi kati ya mtunzi na msambazaji wa kazi za wasanii wa muziki?
ReplyDeletemchina oyee walau na sisi tunapamba HAMMA(kimatumbi)kizhungu nafikiri HUMMER.
ReplyDeleteHivi yule dada Saida Karoli, wa mwenye wifu ajinyonge huko wapi leo? Jibu lake litakupa kama wasanii wanafaidi kwa kazi zao?
ReplyDeletewewe unaesema hammer ya kichina we hapo ulipo huna hata hiyo bito ya kichina unasema vya wenzako,fight upate na wewe japo bito ya kichina,sio unabaki unachooonga.
ReplyDeleteNaona hoja imehamia kwenye gari. What makes this car so special?
ReplyDeletewacheni wivu wa kitoto
ReplyDelete(US Blogger)
Mafuta yatatoka katika jasho la wasanii...wajinga ndio waliwao!
ReplyDeleteMZAZI.
watu wanadiscuss kuhusu hummer,dah kazi ipo!
ReplyDelete