Ankal... mbona unatubania ushindi wetu.
Japo rusha hii nasi tuzidi kufurahi
-Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. ankal TUPE NEWZ

    leo 1 March 2010 ndege ATC boing imepoteza mwelekeo na kuvhunjika tairi la mbele wakati inatua mwanza tokea dar,,,

    rubani yuko juu baada ya kuzima inini,maana jaman uwanja wa ndege wa mwanza HAPANA KABISA,yani uko katikati ya milima na pembeni tu ziwa victoria VERE DANGEROUS PLACE

    sipapendi kabisa!!!

    ReplyDelete
  2. Rrroooooooney!

    ReplyDelete
  3. Nimeskia radio moja leo asubuhi eti wanadai Carling Cup ni kama kombe la mbuzi hahaha nikajua tu huyo presenter ni opponent wa ManU! Hahahahahahah Rrroooooney!

    ReplyDelete
  4. man utd for life

    ReplyDelete
  5. HONGERA KWA KOMBE LA MBUZI. KAMA KAWAIDA YA MIAKA YOTE REFA PIA NA YEYE YUMO KATIKA SHEREHE ZA KUPOKEA KOMBE. KWANI VIDIC ILIKUWA APEWE RED CARD - ATOLEWE LAKINI KAMA VILE TULIVYOZOWEA HATUWEZI KUMUUDHI FERGUSON. KWANI CONTRACT NA MAREFA YA KUIBEBA MAN U BADO HAIJAMALIZA MUDA. KWANI KILA JAMBO LINA SABABU VIDIC ANGETOLEWA MSINGEWEZA KUSHINDA.

    HAYA MATAJIRI WAPATA LEO - LIMBUKENI. KUANZIA 1993.

    ReplyDelete
  6. HUU NI MWANZAO TU mengine yanafuata yaani,

    Premier League
    UEFA Champion League

    Mdau Observer

    ReplyDelete
  7. HILO NI KOMBE LA MBUZI NA JEZI MBILI MBILI KILA MCHEZAJI.
    HALINA ISSUE

    ReplyDelete
  8. Kama kawaida ushindi wa Man U lazima kuwe na controversy, ile rafu ya Vidic ni straight red card, the guy was going to score then Vidic akamchezea rafu wakati hapakuwa na mchezaji wa Man U kufanya coverage, straight red card! Kwa mtindo huo mtachukua kila kikombe!!!!!

    ReplyDelete
  9. I hope Chelc {boys in blue watashinda premier ship cup! Man wakishinda watatamba sana. am not supportin any of them

    ReplyDelete
  10. Anoy 11:16,ha ha aha yan waosha vinywa lazima mchonge wakt kuna timu wanajiita big 4 hata kombe moja hawachukui, kazi yao kushiriki tu
    mtasema sn coz hilo linajulikana, ht profesa anatokea kwny matokeo mazuri ya std 7 then sekondari anajongea chuo............

    man utd rule

    mtatoa macho tu, ndo 2meanza kukusanya vikombe taratibu

    forever Man utd fan

    ReplyDelete
  11. HILI NDILO KOMBE LENU MSIMU HUU. HAKUNA LINGINE.

    ReplyDelete
  12. hata likiwa la mbuzi na nyie nyie wenye kombe la kuku mko wapi??? wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wamkereketa shingoni ah! ah!

    ReplyDelete
  13. Cristiano alivyoondoka, kuna waliosema mwaka huu hamchukui kombe hata moja maana tegemezi lenu limeondoka. Sasa hilo hapo ni la kwanza na tena tumeenda nalo nyumbani. Sasa nyie kina kombe la mbuzi tu hilo, angalieni mengine yanavyofwata. Nyie ongeeni, watoto wa kiume wanafanya vitu vyao.

    Its Michael Owweeeeen...
    Valencia crosses to Rrroooooooney..
    Will Evra take the cup to OT, Oh, he sure did...

    ReplyDelete
  14. Mheshimiwa Ankal. kama huna taarifa leo tarehe 1/03/2010 kuna vitu viwili vimetokea England, naomba nikujuze.

    1. Neno GOAL limeondolewa kwenye kamusi ya kiingereza badala yake litatumika neno ROONEY. kwa mfano matokeo ya arsenal yatatangazwa hivi. Arsenal won by 3 rooneys against one rooney of stoke city. the same applies to other teams. Na rooney mwenyewe akifunga tutasema rooney scores another rooney.

    2. Timu ya arsenal imemtimua kazi mfanyakazi wao wa kusafisha kabati la kuweka trophies, kwa sababu wameona wanamlipa mshahara wa bure kwa miaka kingi na hakuna kombe linaloingia. wataajiri mwingine baada ya kupata angalao kakombe, ila hawajui ni lini.

    kama hamuamini someni daily mirror la jumatano

    ReplyDelete
  15. walisema sana hatutapa kombe mwaka huu, now wanabadili ndio ilo ilo hahaha funny people..wakati wao wanakalia kutuombea njaa sie tunapanga mikakati ya next one..poleni haterz

    ReplyDelete
  16. glory glory man united
    glory glory man united
    glory glory man united and the reds go matching on on on

    ReplyDelete
  17. Safi sana..!!I love to see emotional come from other poeple.

    Arsenal and Liverpool, thank you kwa kuwasindikiza ManU na chalsae mpaka mwisho.

    ReplyDelete
  18. Ol' Trafford
    Theatre of Dreams
    That's where trophies belong 2. Viva Man U, Forever United

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...