Na Ripota wetu, Cairo
Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh I ssa Shaabani Simba (shoto) akiwa katika picha ya pamoja na Sheikh Mkuu wa Misri (Sheikhul-Azhar v-GRAND SHEIKH OF AL-AZHAR - Pr,) Dr Muhammad Sayyed Tantawyi katika Ofisi zake za Masheikhatul-Azhar zilizopo mji wa Darassa mwezi jana.
Habari zinasema Dr. Tantawyi amefariki dunia huko Misri.
Sheikh Mkuu wa Tanzania alikuwa nchini Misri kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 22 (The 22nd General Conference. Under the Title The Objectives of Shariah(Islamic Law)And Issues of the Contemporary Age.

Marehemu amefariki leo saa 12:00 asubuhi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mjini Riadh Nchini Saudi Arabia akijiaanda kwa safari ya kurudi Nchini Misri.
Sheikh alikuwa Nchini Saudia Arabia Kuhudhulia Hafla ya ugawaji wa tunzo ya Mfalme Faisal iliyokuwa ikigaiwa kwa baadhi ya viongozi kutoka Nchi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu wa Uturuki.

Sababu za kifo chake ni Presha(Mshtuko wa Moyo) uliomtokea Ghafla akiwa kwenye ngazi ya Ndege,Taarifa zinasema hali hiyo imetokana na Uchovu aliopata kutokana na Shughuli hiyo ya jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Inna lillah Wainna illaih Raji'un!

    ReplyDelete
  2. AJUAE BWANA MUNGU KWA MZIMA KUWA MFU MGONJWA KUWA SALAAMA WOTE TUNAWAPA POLE.

    ReplyDelete
  3. kazi ipo,juju la tanzania kumbe ni noma.

    ReplyDelete
  4. Mtoa maoni wa tatu inabidi ukapimwe akili yako ili ijulikane ina kilo ngapi?

    ReplyDelete
  5. inna lillahi Mola amrehem lakini alikuwa ana wa judge sana waislam wengine bila kujua mwanzo wa mambo mengi.Masheikh wengi wana penda kutoa comments zao bila kuchunguza chanzo cha tukioh hii yote ni katika ku wa please waliokuwa si waislamu.Mola atupe subira.

    ReplyDelete
  6. inna lillahi wainna ilahii rrajuynii

    ReplyDelete
  7. ANKAL MICHUZI MIMI MDOGO WAKO NATAKA KURUDI HUKO NYUMBANI KWA AJILI YA UJENZI WA TAIFA LETU


    SASA KATIKA MOJA YA MIPANGO YANGU NILIYOFIKIRIA NIKIRUDI HUKO NI KUJARIBU KUGOMBANIA UBUNGE WA MKOA WANGU


    NILIKUWA NAOMBA USHIRIKIANO WAKO ILI NIWEZE KUPATA NAFASI HIYO UWE BEGA KWA BEGA NAMIMI

    UNISAIDIE KATIKA KAMPENI NA KUNITANGAZA VYEMA

    NIMEJIANDAA GHALAMA ZA KAMPENI ILI NIWEZE KUCHAGULIWA NA KUONEKANA NITAKUWA MCHAPA KAZI WA KWELI

    NIMEJIANDAA NA VITU KAMA IFUATAVYO KWENYE KAMPENI YANGU

    1.KUWACHIMBIA VISIMA VYA MAJI
    2.KUWANUNULIA MADAWATI YA SHULE
    3.KUANZISHA MIKOPO KWA KINA MAMA
    4.KUWANUNULIA VIFAA VYA MICHEZO
    5.KUIMARISHA HUDUMA ZA MATIBABU

    HAYO NDIO MAANDALIZI YANGU NA MENGINE MENGI

    ANKAL NAOMBA UNIPATIE MAJIBU KAMA UTASIMAMA NAMIMI KATIKA KIDEDEA HICHO CHA KUOMBA UBUNGE.

    WADAU MNAWEZA KUNIPA USHAURI JUU YA HILO KWA LENGO LA KUJENGA TAIFA LETU NA KUONGEZA NGUVU MPYA YENYE MFUMO WA KISASA KABISA.

    MDAU MWENZENU.....MPIGA BOKS UZUNGUNI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...