Hello ankali Michuzi
Ebwana niwekee kero yangu hii ya Bus la Dar Express T 640 AAL, Hili bus lina huduma safi kasoro vitu fulani vidogo Cha kwanza eti ni luxury kama inavyoitwa kwa sababu eti abiria wanapewa pipi na soda moja safarini...
Ebwana niwekee kero yangu hii ya Bus la Dar Express T 640 AAL, Hili bus lina huduma safi kasoro vitu fulani vidogo Cha kwanza eti ni luxury kama inavyoitwa kwa sababu eti abiria wanapewa pipi na soda moja safarini...
dah noma ankali
Cha pili ni suala zima la cinema hapa kwenye bus wana movie moja ya kiswahili ambayo kila silu ndio inawekwa,nafikiri kwa wadau walioopanda hili bus wanaweza kuzungumzia hili...hiyo movie ya mfalme Adumba gagalauka.. Hata mwaka jana nilivyopanfa bus hili iliwekwa movie hiyo hiyo ...hivi kwanini hawa wenye bus wasutafute movie nyingine nzuri ili kuweza kuwapa burudani wateja wao na kuwafanya kweli wajione kwenye luxury na sio luxury jina.
Naomba kutoa hoja mdau.
Mdau Mac Temba
Safarini nikitokea kwenye Kili marathon...
Cha pili ni suala zima la cinema hapa kwenye bus wana movie moja ya kiswahili ambayo kila silu ndio inawekwa,nafikiri kwa wadau walioopanda hili bus wanaweza kuzungumzia hili...hiyo movie ya mfalme Adumba gagalauka.. Hata mwaka jana nilivyopanfa bus hili iliwekwa movie hiyo hiyo ...hivi kwanini hawa wenye bus wasutafute movie nyingine nzuri ili kuweza kuwapa burudani wateja wao na kuwafanya kweli wajione kwenye luxury na sio luxury jina.
Naomba kutoa hoja mdau.
Mdau Mac Temba
Safarini nikitokea kwenye Kili marathon...
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
Kero yako waambie humohumo ndani ya basi, wao wako karibu zaidi na wewe, si unajua mteja ni mfalme.
ReplyDeletewewe anonymous wa kwanza unaonekana kichwa chako kimejaa minyuzi nyuzi tu ka radio za phillips. Nini maana ya michuzi kuweka blog yake hapa, ni kweli mdau angeweza kuwasilisha hoja yake physically kwa wahusika ila sio kila mtu ana guts hizo. Kupitia michuzi jambo husambaa haraka na hakika humfikia muhusika. Mi naunga hoja kwakweli, Mi ni mkazi wa Arusha, na route nyingi sana za dar kulingana na mazingira ya kazi yangu, usafiri wangu huwa ni dar express. Kwakweli nawapenda tu kwasababu huwa hamna kumbukumbu mbaya saana kulingana na mabasi mengine (nazungumzia ajali) pia ni very panctual. kwakweli pipi, soda, sijali saaaana ila swala hili la movies, mnarudia saana movie, nakumbuka nimeangalia movie ya ....(main character ni nargis, ray na johari, jina nimesahau) zaidi ya safari si chini ya sita. tafadhali ebu muwe na movie tofauti tofauti, mnanifanyaga nilalle saaaana. Otherwise mpo poa DAREXPRESS.
ReplyDeleteSPEED.
nawasilisha.
Bwana Temba kweli wewe ni mshamba na unaonekana wewe huwa husafiri mara kwa mara. Kwa taarifa yako hakuna mabasi bomba Afrika Mashariki na ya kati kama Dar Express. Chunguza utaniambia. Scandinavia walijaribu wakashindwa. Sasa ulitaka Dar Express wakupe kiti moto Mangi na bia ya safari ndani ya basi? Wacha ushamba bwana. Dar Express wapo juu usipime.
ReplyDeleteHivi we' Temba una matatizo gani? Yaani uko katika basi badala ya kuwaambia wanaohusika katika basi, unakuja kumwabia Ankal!!!??? Yaani kila kitu Ankal! Si uwaambie hapo!!???
ReplyDeleteMovie, Movie, Movie.... si ununue mwenyewe ukaangalie nyumbani kwako.....wewe vipi wewe??
ReplyDeletewe si ulipewa pesa ya ndege iweje upande bus? tulia kabisaaa au fumba macho usione
ReplyDeletekwanza ushukuru kuona hiyo movie moja...ujui hilo basi liko tanzania...unazani ulaya???
ReplyDeletemdau money uk.
Kama vipi nunua gari lako uendeshe mwenyewe na weka Movie unazozitaka! we vipi bwana!
ReplyDeleteETI NAULI ILIPE....BRAZAAAA TAFUTA LAPTOP UWE NAANGALIA MOVIES AU UNAOGOPA KUPIGWA KABALI....
ReplyDeleteKwanza kabisa nawapongeza sana Dar-express kwa kutoa huduma nzuri na kuweza kudumu kwa miaka mingi bila kuterereka wakat makampuni mengine yanakufa nyie Dar-express mnaendelea kungara,sasa turudi kwa bwana Temba umeona hicho ni kitu cha kutueleza sisi hapa, inawezekana huko nyumbani huna TV unategemea movies za kwenye mabasi kama huyo mdau hapo juu alivyosema inaelekea kichwa chako kimejaa minyuzi nyuzi tu kama radio za phillips,alafu achana na njaa za kwenye mabasi next time upande ndege ni $200 tu,TO and FRO ticket.Manake wewe toka mwaka jana unaparangana na mabasi tu tafuta siku moja uonje ndege mangi,unaweza kupanda ile ya kina mangi wenzako wa kule rombo aisee precision air.
ReplyDeletewatu bwana ndio maana tanzania hatuendelei mtu akitoa mataizo watu wanakandia haya barabara zinamashimo je akaseme kwa kikwete asote ndani?Pili haya mabasi ya bongo ni sawa kama umepanda ndege maana roho juu juu huna uhakika wala wa kufika safari,utafikiri upo angani,unafikiri mara itaanguka tu ndege nio hawa ajali kila kukicha watu 25 ndio kidogo.
ReplyDeletewe fala nani kakwambia dar ex ni bus bora africa mashariki na kati,ama kweli safiri uone.kwa bongo yenyewe sio number one, royal wako poa zaidi.dar exp bado wanatumia marcopolo za kumwaga.body msounth
ReplyDeletehawatabasamu hawatabasamu.mbona picture wanayopewa zawadi bwana katabasamu ni bibi katabasamu kwa mbali na picture ya chini yake.
ReplyDeletejamani hii harusi ilinoga wapeni sifa zao.pia kiislamu na mira nyingine bi harusi hatakiwi kujishebeduwa midomo wazi wazi meno yote nje hayo ni mambo ya mabi harusi freaky.
mtoto kalelewa huyo.na uoga naisi anaogopa mshudede hapo baadeni kazi alikuwa anayo mana mpaka na jamvia bibi harusi atakimbilia wapi?(WINK)
HALO HALOOOOOOOO!