Steve Kanumba akipokea 'tuzo ya oscar'
alipotembela Hollywood, Marekani, mwaka juzi

Wakati mnuso wa kutangaza waigizaji bora ambao wanatwaa tuzo za Oscar ukiendelea, hapa nyumbani nako kulikuwa na yake.
Mwigizaji Steve Kanumba aliibuka kuwa mwigizaji bora wa mwaka huu katika shindano lililokuwa likiendeshwa na redio ya Clouds FM lililoshirikisha waigizaji mbalimbali wa kiume.
Kanumba amewabwaga Hemed, Yusuph Mlela, Cloude na Raymond Kigosi (Ray) katika matokeo yalotangazwa na Clouds FM katika kipindi chake cha kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saba alasiri na mtangazaji Dina Marios akishirikiana na Zamaradi Mketema na Gea Habib.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. hii balaa sasa dogo huyo wa kithungu chinga hollywoodi.wee awads gani unapewa kitaaani hilo changa la macho tu.acha kuuza sura kandumba wee chapa kazi kwanza afu matokeo yake utaona sio greatest umepewa na nano weye?ushamskia denzel anajiita the great afu jamaa kichwa kile kimeenda skuli hadi makaburu wanablo.ni hayo tu naomba ankal usnibaniuuu comento yango basi?


    mdau alaska kwa sarah parin

    ReplyDelete
  2. daaaaa hapa ni universal studio na hicho ni kituzo wageni wananunua kama dollar 20 tuu,sio oscar ya kweli,get serious dude!!unaboa sasa

    ReplyDelete
  3. crap! halafu michuzi na wewe sometimes unatuchokoza then tukisukutua unabania comment.
    Jamaa anapenda sifa duuuh sasa hiyo ndio nini?

    ReplyDelete
  4. Tehee hee. Hajasema uongo. Alishinda bahati nasibu ya watalii akapewa tuzo ya mfano wa oscar yenye thamani ya dola 20.

    ReplyDelete
  5. Wacheni ujinga aliyeandika kaweka jokes si kwamba Oscar ya ukweli ila Clouds wamefanya kipindi cha msanii bora kama siku Ya Oscare Award. Vichwa kama Tikitiki maji. Wacheni wivu kila mtu anajuwa hiyo picha si ya kweli Oscar. Kanumba kazi yako ni nzuri na tunakuombea mungu uzidi kuendelea vizuri na mafanikio mazuri. Mrefu

    ReplyDelete
  6. Its called The Ghetto Oscars...

    ReplyDelete
  7. Mdau wa Alaska kabla Kumkosoa Kanumba huko Marekani Unasoma kweli Hata Award unasema awads bora tu uwaambie wazee wako ukweli pesa ifanyiwe kitu kengine. Raythegreatest.

    ReplyDelete
  8. Dah Waswahili kwa Kudakia. Someni Vizuri.

    Wakati mnuso wa kutangaza waigizaji bora ambao wanatwaa tuzo za Oscar ukiendelea,(Mkato Mwisho wa Habari za Tuzo za Oscar Huko Marekani)
    hapa nyumbani nako kulikuwa na yake.
    Nyumbani ni Tanzania sasa kama mmepasahau Nyumbani kama ni Tanzania haya ni Kura tu za Clouds watu wamemchaguwa Kanumba. Kidevu Mzuzu.

    ReplyDelete
  9. huyo kanumba hinaonekana ajakuwa kweli!! matendo yake kama jina lake jamani!!

    ReplyDelete
  10. Wbongo kwa gumu....hey chilli out guys..its just a joke to melt ur heart...mnajidai mnajua puuuuu....kaeni kimya na wivu wote tuko huku natunajua hiyo sio real gold lakini hatusemi hili wala lile kama hutaki kuangalia vinavyowekwa huku na anyewekwa huku look somewhere else....

    kanumba I don't even know you but you rocky high man!!! ((((HUGS)))))

    inaelekea watu wakikuona tu BH zinawapanda let the die you keep going hureeeeeyyyyyyy

    haters mtaishia kudoda tu mwenzenua nasonga mbeleeee

    Mdau LA

    ReplyDelete
  11. Hongera Steven Kanumba! Huenda siku moja utapata Oscar ya kweli. That toy shot iachekesha kweli.

    ReplyDelete
  12. Kanumba is get Oscar , nexti day Propheti John Mashaka is get the NoBEL piece PRIZE in Stockholm Sweden

    Bongo Tambarare, mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  13. Kanumba the great wala hawa malimbukeni wasikutishe. Wewe. Nabii feki yohana mashaka na hasheem thabeet ndio stars wa kweli tz teteteeeee

    ReplyDelete
  14. Hii ilikuwa ni winter kweli kweli

    ReplyDelete
  15. Kanumba amepata oscar ya kweli, hacheni wivu, naye nabii Yohana Mashaka apewe NOBEL peace prize.

    ReplyDelete
  16. Hiyo tuzo(toy) alijinunulia Kanumba mwenyewe akamwona jamaa anakatiza kitaa ikabidi amwombe ampatie kama ndiyo imetoka kwa jamaa(mzungu) kumbe kajinunulia mwenyewe. Wasanii wa bongo wanapenda sana sifa,mafanikio kidogo tu bichwa hilo. Mwingine juzi amekataa kulipa nauli kwny daladala eti kwani hunijui mimi. Konda alikuwa kikazi zaidi akasema hata kama nilishakuona kwny runinga hapa ni nauli tu,jamaa ikaona noma akatoa.

    Ankal usibanie.

    Mdau MjiniKati

    ReplyDelete
  17. NA WALA SI SARAH "PARIN", MDAU WA ALASKA, ENDELEA KUVUA SAMAKI TU HUKO

    ReplyDelete
  18. Kanumba kipaji chako kiko juu, usiwajali hawa wabeba boxi.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  19. ..Watanzania mpaka lini mtakuwa MASENENE... thats just a simple humor, just get used to it.... yani akili zinakuwa finyu hata kutofautisha utani na ukweli mnashindwa... du kweli aliyetuloga kafa... Big up Kanumba...

    ReplyDelete
  20. anany wa mar 08, 10:23 umenifurahisha sana! nimecheka sana! (vichwa km matikiti maji)unajua tatizo tulilonalo wabongo c kwamba ni vichwa ngumu, LA HASHA! ila wivu umetujaa sana! mtu hajasoma habari hata akaielewa yy akili yake ipo kwenye wivu tu! kwa uelewa wangu, hiyo picha hajaiweka kanumba! ankal au mdau mwingine kaiweka ili kuchangamsha baraza! KANUMBA mdogo wangu, upo juu,ila usiridhike, kaza buti, maneno ya waosha vinywa yasikusumbue.

    ReplyDelete
  21. Nilichogundua kuwa tulio wengi tunasoma kwa kukariri,soma elewa ujumbe.

    Kanumba hakupewa Oscar award kwani hata orodha ya waigizaji maarufu duniani hayumo na hatakuwepo,lakini kwa kutumia vijicent vyake aliweza kufika huko Holywood,USA na akashudia waigizaji mashuhuri wakikamata tuzo zao,then wakati anatoka akaomba apige picha na kiji-award alichopata huyo jamaa alipiga naye picha,sasa wabongo mungejuaje kama alienda huko,is like wabeba box mkirudi hapa mnajifanya mmesahau kiswahili,u know wat am sayin' kibao ,masikio mmetoboa sijui kutoga masikio ndio ujanja.
    Bora kanumba alipiga picha na tuzo ya mshikaji kuliko nyie mnao toga masikio,shwaini nyieee,ila kanumba sijaona picha uliyopiga na ile tower inayo -identify USA,
    Kwa hiyo msichanganye maada,Clouds waliiga kama ya Oscar award na Kanumba akaibuka mshindi,
    Big up Kanumba,lakini usitoge masikio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...