Msanii nyota toka Burundi anayeishi kwa watani wetu wa jadi (Kenya) atakuwa na shoo moja kabambe kwenye kiota cha maraha cha Club Sun Cirro (zamani Kili Time) barabara ya Shekilango road maeneo ya Ubungo jijini Dar. Tayari KIDUMU keshaonesha nia yake ya kufunga kambi Bongo baada ya kukubalika vyema kwa wadau. Kazi kwenu Ijumaa hii

makaratasi anayo au anafunga kambi kibongobongo tu. No paying tax, no working papers ili mradi watu wamekukubali.
ReplyDeleteWilliam Gallas look alike.
ReplyDelete