Mwenyekiti wa shirikisho la wafanyabiashara wanawake Tanzania, Dina Bina akitoa mada kwa wafanyakazi wa kitengo cha uhajiri HR cha Vodacom Tanzania wakati wa kuazimisha siku ya wanawake duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.
warsha ikiendelea
Meneja ununuzi wa Vodacom Tanzania Regina Magani kushoto Vodacom miss Tanzania ambaye pia ni Samsung Miss Tanzania India Richa Adhia na mama yake Mana Adhia wakiwa kwenye warsha ya kuazimisha siku ya wanawakle duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.


Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha utumishi wakiuliza maswali wakati wa washa ya kuazimisha siku ya wanawake duniani inayofanyika tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha utumishi wakiwa katika washa ya kuazimisha siku ya wanawake duniani leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Unkp Michu, ninampongeza huyo kaka aliyevaa miwani na shati jeupe (picha ya chini kabisa) kwa kushiriki siku ya wanawake duniani kwa kujiwekea mtandio....

    ReplyDelete
  2. Jamani mbona Mwamvita hayupo?

    ReplyDelete
  3. Anonymous 12:06 pm umenichekesha sana.

    ReplyDelete
  4. hhahahhaaa annon #1

    ila safi sana kinamama mmejaa voda

    twaja uko

    ReplyDelete
  5. NI KWELI WALIKUA WANAWAAZIMISHA SIKUKUU KISHA WATAWARUDISHI IKIISHA, ELIMU YETU SI NDIO HIYO ILIYOBORESHWA SASA MNASHANGAA NINI. KUNATANGAZO MOJA LA TELEVISHENI KUUBWA LIMEANDIKA UTASHINDA SHS.1000,000 SASA HAWA NI WATU WATU WAZIMA SI WATOTO WA DARASA LA KWANZA. MUNGU IBARIKI TANZANIA IBARIKI CCM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...