hello uncle...labda am youngest blogger,but am not sure...am 18 yrs old na blog yangu ni spesho kwa wanafunzi...haijalishi upo o level, a level au chuo. we are all stuedents ata kama upo nje ya tanzania au ndani ka mimi, we all meet there...... sasa naomba unisaidie kumake it known in your blog...
my blog is:
Bennedict Kadege
------------------
Hongera sana Ben kwa kuanzisha libeneke hili murua. Ushauri wangu kwako ni kwamba kaza buti na utuletee yale yote uliyoahidi. Pamoja na kujua hali huenda ni ngumu katika kupata mtandao, lakini jitahidi kuwa na post mpya kila siku inayohusu sera uliyotutangazia.
Nakupongeza kwa hili na pia natoa changamoto kwa wengine kuiga mfano wako. Mwenye kuhitaji msaada (wanafunzi tu) niandikie kupitia issamichuzi@gmail.com
tutasaidiana tu. msihofu. Libeneke halina mwenyewe, kila mdau yuko huru kuanzisha mradi ahakikishe ana cha kusema ama kuonesha kila siku.
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndiyo kijana kaleta Libeneke na wanafunzi ni wazo zuri "good Idea" ila unapozungumzia wanafunzi unazungumzia elimu,sasa namuomba Mdau Benny kwenye libeneke hilo azungumzie elimu kweli na si kuwa libeneke la wanafunzi wauza sura wa leo hayo mambo sisi kama wadau wa elimu ya Bongo hatupendi.

    Mdau wa elimu
    mdauelimu@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. wanafunzi na celebrity wapi na wapi haijatulia hii

    ReplyDelete
  3. Mie tatizo langu liko kwa spelling mistakes basii.Kuwa mwangalifu basi unapo type spelling mistakes can be a big turn off.Kweli mwl wako wa lugha atapenda hii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...