Home
Unlabelled
madansa wa twanga wakipepeta laivu mango garden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante sanaaaaa! naenda beba boksi with a big smileon my face. i am a proud Tanzanian. yaani imenisuuza mastress yote. jamani raha ...
ReplyDeleteMichuzi ahsante sana kwa kuturecodia na kutuwekea hiyo ClIP ya Afircan Stars Band "Twanga Pepeta". Kwa kweli kwa sisi Wa Diaspora huku majuu unatutia kiu ya kutufanya tuje huko nyumbani mara kwa mara.
ReplyDeleteWatoto safi sana
ReplyDeleteI love their dancing
BUT dont you think a little Abdominal plasty would help in some
Check it out as tummy tuck surgery
I love they dancing lakini hayo matumbo na wanavyovaa du ni noma. and why madances wa kike haza wa TZ wanakuwa na matumbo makubwa hivyo dispite na mazoezi wanayoyafanya? ningekuwa ni mimi na dance hivyo we ningekuwa na flat tummy wihtn 2 days.
ReplyDeleteHAWA WANAMATUMBO MAKUBWA (VITAMBI) KWA SABABU YA KULA VYAKULA VIBOFU KAMA CHIPIZI MAYAI ZENYE MAFUTA MACHAFU, MAKUKU YA BAA YENYE MAFUTA MACHAFU, SODA ZENYE SUKARI NYINGI, NA BIA ZA KUFUMANIA (SIKU MTU AKIFUMANIA BIA ANAKUNYWA BILA VIWANGO)
ReplyDeletehizi ndio shoo za kwenda kitu live sauti,vyombo murua sio hao wabana pua wa ubongo wa fuleva kazi kutajataja majina tuu wanatuwekea cd msanii anataja majina ya watu wimbo unaendelea
ReplyDeleteWana kutwanga na kupepeta safi sana.
ReplyDeleteMatumbo si tatizo lililo kubwa ukizingatia kuwa watu tumetofautiana sana katika maumbile bila ya kujali hata kiuwango cha mazoezi na vyakula tunavyokula.
Kuwa na madansa wa mchanganyiko wembamba na wanene, wafupi na warefu n.k nayo ni kivutio cha pekee sana katika usanii.
Kazeni tu buti hasa katika suala la UBUNIFU.
Yaani jitahidini kuja na vitu vyenu orijino. Kuiga si vibaya lakini isiwe kila wakati na karibu kila kitu yaani midundo na hata mavazi mfano zile suluali za Koffi Olomide ambazo zinakufanya kama umebeba mizigo fulani huko chini mimi huwa sioni uzuri wake maana hazipendezi ebu angalia hapa. (http://www.youtube.com/watch?v=LYelB2GEbzA).
Na wala hata syle za kucheza najua tunaweza tunga zetu na dunia ikatutambua. Angalia hiyo style ni kama ya Techno Malewa – Werrason bonyeza hapa uone mwenyewe. (http://www.youtube.com/watch?v=YXvHrRt4YEE&feature=related).
Ulimwengu wote unamuheshimu sana Oliver Mtukudzi kwa ubunifu wake na utunzaji wake wa sauti na ghani yake ambayo ni ya kipekee. Hebu msikilize anavyoita hapa. http://www.youtube.com/watch?v=5QAEQWeW8b0&feature=related
Nawatakia kila kheri maana najua sisi waTZ tuna uwezo sana katika anga za music. Tunawezatoka na chetu kikatubeba!!
Mmmnh! Jama! mbona ina kwikwi???
ReplyDeleteMPG bx
HAYO MATUMBO YAKIPUNGUA ITAKUWA FRESH ..... JUST A SUGGECTION
ReplyDeleteADUMU KAKA MITHUPU! ZIDUMU FIKRA ZAKE! kwa kweli kaka mithupu umenifanya nisahau karaha zote za kubeba box! nahisi km nipo TTC Chang'ombe! bongo mwisho! kaka mithupu endelea kutuletea vitu vya twanga. ASANTE SANA, kwa kiinglish NDAGA FIJO GWA KUKAJA!
ReplyDelete