Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Gaddafi ni chizi, hata Arab league wanamjua kuwa wapangaji walishahama.
    Kazidiwa na fikra za kipumbavu na pia ni kiongozi Dictator anayejulikana.

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu Gadafi ni mfalme wa Libya au?? maana hang'atuki tangu enzi hizo za akina Iddi Amin Dada mpaka leo bado yupo au naye anaaply za Mwana FA (bado yupo yupo kwanza)

    ReplyDelete
  3. KAMA ANATAKA KUIGAWA 9JA MARA 2 SI AWAPE HAO MUJAIDINA WENZAKE ARDHI HUKO KWAKE LIBYA AWAACHE NDUGU ZANGU WA DAMU KAMA WALIVYO.

    ReplyDelete
  4. bara should set zanzibar free

    ReplyDelete
  5. nabii john mashaka jibu mapigo ya gadafi.... hii kali aisee, huyu gadafi ni dikiteta kweli kweli

    ReplyDelete
  6. kazanzibar ketu kaacheni kama karivyo kakoroni ketu jemeni, kudadeki! anayepinga ni adui wa muungano na ni mhaini, atavurumishiwa lungu ra dora

    ReplyDelete
  7. yaaani inaskitishaa saana na ndo maana makaburu wataendelea kututawala kwetu africa.inaonyeshaa ni ginsi gani wachangiaji wote hapo juu mlivo wajinga na kutopenda africa yetu.nyiee kaa mafisadi kadhafi he,s a grt african,maana hao makaburu hutumia ma raisi wajinga ka nyie hapo juu kutokubali united stetes of africa pasi mmoja bunge mmoja mipaka inatolewa kaa walivofanya wa europeeani afuu hawa jamaa tunawafungia maji na matala.kama si hio winter yao na ma sneew hawana lolote zaidi ya kutuibia mali zetu na kunufaika na zo huko kwetu kupitiaa mgongoni mwa viongozi wajinga africa.hawa jamaa naamini tukifunga kila kitu watakujaa kujilipua africa kwetu.wee angaliaa madini yetu ndo wanatumia kune lap top na viserura.cacao nchi ya kwanza kuazlishaa cacao duniani ivory coast ilaa mtoto wa huko hajui chocoleti ikojei.inauma saana ilaa tutafika tu aluta continua africa tunaitaji viongozi kaa kadhafi na kagame kumi afu makaburu tumewamaliza

    mdau arizona gilbert

    ReplyDelete
  8. gilbert weeee nini mana ya ma sneew??? labda ma snow lol!!! ulimi hauna nyama ooops mfupa!!

    ReplyDelete
  9. Mdau gilbert wa arizona umeandika lugha inayofanana na kiswahili, unaweza kurudia tena ujumbe wako ili ueleweke??

    ReplyDelete
  10. haki ya nani mtu anaeongelea udini,ni muuaji na sumu ya jamii na jehanam ni yake!!maana ulipuaji afrika hatutaki jameni

    mungu saidia na ingilia kati suala la nigeria

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...